Lugola: Niliacha uaskari kufanya siasa
“NIMETUMIKIA Jeshi la Polisi kwa miaka minane na ndipo nikaamua kustaafu kwa hiari ili nijishughulishe na masuala ya siasa moja kwa moja nikiwa bado nina nguvu.” Hii ni kauli ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Aug
Marufuku kufanya siasa Uwanja wa Taifa
SERIKALI imepiga marufuku vyama vya siasa kufanya shughuli za kisiasa katika uwanja wa taifa na kusisitiza, utabaki kwa ajili ya michezo pekee.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fnnBIZC54t6repKtN7F0Rxmqa2AY1RhSJFWwwxQBHAOXAn1AUmUlXecmI23xYeZnfi-nEqQB27lBAYyS-95R0PJ/mc.gif?width=650)
MC PILIPILI: NILIACHA UALIMU NIKAJIKITA KWENYE KOMEDI
10 years ago
Habarileo03 May
Wanaotaka kufanya siasa wafuate taratibu-Askofu
ASKOFU Mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya amewataka maaskofu na wachungaji wa kanisa watakaojiona wana sifa ya kutaka kugombea nafasi za urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu ujao, wafuate taratibu na kanuni za kanisa ikiwemo kuachia nafasi aliyo nayo.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kufukuzwa CCM kumenipa fursa nzuri ya kufanya siasa za kuikomboa Zanzibar
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UrhBlDTdDps/VVeiK5czS2I/AAAAAAAHXqo/XjIfaNT930I/s72-c/DSC_8730.jpg)
MSAMA AWATAKA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUFANYA KAZI YA MUNGU NA SI MAMBO YA SIASA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-UrhBlDTdDps/VVeiK5czS2I/AAAAAAAHXqo/XjIfaNT930I/s400/DSC_8730.jpg)
Msama ameyasema hayo wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na urais unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Msama anasema karipio hilo linawahusu pia viongozi wa dini wakiwamo Wachungaji na Maaskofu ambao wanaonesha nia ya kutaka...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-G5vJNtV08e4/VQQaU5zc0WI/AAAAAAADcLQ/ER2g7zHy7JU/s72-c/image.jpeg)
MAFUNZO YA AWALI YA UASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUO KIWIRA, MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-G5vJNtV08e4/VQQaU5zc0WI/AAAAAAADcLQ/ER2g7zHy7JU/s1600/image.jpeg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6eOyS-e2JgU/VQQaT3rTJ4I/AAAAAAADcLM/aHUiLInFXpE/s1600/image_1.jpeg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3L9i1LMkJ2A/VQPdU7XThGI/AAAAAAAHKMM/DvIKOAkmVvo/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
MAFUNZO YA AWALI YA UASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUONI KIWIRA, TUKUYU, MBEYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-3L9i1LMkJ2A/VQPdU7XThGI/AAAAAAAHKMM/DvIKOAkmVvo/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ANTQcpXVlMs/VQPdVMpzeBI/AAAAAAAHKMc/ac407zg-w1I/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-pnccT1oj9C8/VQPdUqb7_KI/AAAAAAAHKMI/sOgFNrw8_gU/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_tca1WRwP4s/VQPdVqkw5OI/AAAAAAAHKMU/bEg87WLgqWU/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
11 years ago
MichuziNews Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI
CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Lugola amfyatua JK
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amemshambulia Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Rais Jakaya Kikwete, kuwa chama kitafia mikononi mwake. Lugola, alisema kitendo cha Rais Kikwete kukataa kuwaondoa madarakani mawaziri...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10