Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU ASHAMBULIWA KISA, KIGAUNI CHAKE

Stori: Mayasa Mariwata
Mavazi anayovaa msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu,’ sasa yanamuweka matatani kufuatia hivi karibuni kushambuliwa kwa maneno kutokana na kigauni cha kimitego alichokuwa amevaa. Elizabeth Michael ‘Lulu,’ na kivazi chake kilichozua utata. Kigauni hicho ambacho juzikati alionekana nacho mitaa ya Sinza jijini Dar kisha baadaye kukitupia mtandaoni, kimewafanya wengi wahoji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Jose Mourinho ashambuliwa na mashabiki, kisa Terry

jose-mourinho_epa_2587091kLONDON, ENGLAND

MASHABIKI wa klabu ya Chelsea wamemtupia lawama kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho, baada ya kumuweka benchi beki wake, John Terry katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Porto.

 

Mchezo huo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Dragao nchini Ureno, Chelsea ilikubali kichapo cha mabao 2-1, huku beki wake akiachwa benchi na kocha huyo.

 

Kitendo hicho kiliwafanya mashabiki watume ujumbe mbalimbali katika klabu hiyo wa kudai kwamba wanamtaka beki huyo kupewa nafasi ya kuanza kama...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu na Kisa cha Maisha ya Mvunja Kikombe!

SIKU za hivi karibuni imekuwa ikiripotiwa mtafaruku uliopo kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa.Miongoni mwa mambo yanayozua hali hiyo, kwa mujibu wa mama Kanumba, ni kitendo cha Lulu kumsahau kama ‘mama’ yake na hivyo kukiuka ‘kiapo’ cha awali cha Lulu kumchukulia mama Kanumba katika udugu wa umama.

Kiapo hiki kiliwekwa siku chache baada ya Lulu kuachiwa kwa dhamana akitoka kwenye Gereza la...

 

10 years ago

GPL

LULU NA KISA CHA MAISHA YA MVUNJA KIKOMBE!

Oscal Ndauka SIKU za hivi karibuni imekuwa ikiripotiwa mtafaruku uliopo kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa.Miongoni mwa mambo yanayozua hali hiyo, kwa mujibu wa mama Kanumba, ni kitendo cha Lulu kumsahau kama ‘mama’ yake na hivyo kukiuka ‘kiapo’ cha awali cha Lulu kumchukulia mama Kanumba...

 

9 years ago

GPL

KISA UHUSIANO NA DIAMOND LULU, WEMA WAFIKA PABAYA!

Stori: Imelda Mtema Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa mwandani wake,...

 

11 years ago

Bongo Movies

Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema

Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.

Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika

bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala...

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19). Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyewasili Rwanda Machi 8 kutoka Mumbai, India, kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya afya.

Raia huyo hakuwa na dalili zozote za virusi vya Corona wakati anawasili nchini Rwanda na alijipeleka mwenyewe kwenye kituo cha afya Machi 13, ambapo alifanyiwa vipimo mara moja.

Wizara ya afya imesema kwa sasa anaendelea na matibabu, hali yake imeimarika na ametengwa na wagonjwa...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU MICHAEL Agoma kumtaja BABA wa Mimba yake ...Kisa Kuogopa KUROGWA

\lizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19) kutoka kwa raia wa India aliyewasili nchini humo

 

11 years ago

GPL

KIGAUNI CHA WOLPER CHAIBUA MINONG’ONO

Stori: Shakoor Jongo MH! Kigauni kifupi alichotinga staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kimeibua minong’ono watu kuhoji kulikoni akivae hivyo ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe Tukio hilo lilowastaajabisha wengi lilijiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani