Lulu: Ma ‘Good Men’ Wapo Mbinguni, Hapa Duniani….
Mtazamo wa staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhusu ‘ma good men”wanaume wazuri (tabia) kuwa wapo wachache sana hapa duniani umechukuliwa kwa mitazamo tofauti tofauti huku wadada wengi wakionyesha kumuunga mkono na wakaka wengi wakonyesha kumpinga na kusema wanawake wazuri (tabia) ndio wachache.
Lulu kwenye ukurasa wake mtandaoni aliweka picha yenye maneno (hapo juu) yanayosomeka kwa lugha ya malkia kama “ You’ll never see women auguring or battling over a good...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Watu Bilioni mbili, Duniani wamekula wadudu..wapo wafanyabiashara wakubwa-Ripoti ya UN
!['Entopreneurs' feed growing appetite for edible insects](http://l2.yimg.com/bt/api/res/1.2/ZMFBxQllXSw505E_CqupNw--/YXBwaWQ9eW5ld3M7Zmk9ZmlsbDtoPTM3NztpbD1wbGFuZTtweG9mZj01MDtweW9mZj0wO3E9NzU7dz02NzA-/http://globalfinance.zenfs.com/images/US_AHTTP_AP_FINANCIALTIMES/68fbc23ce6c9b410730f6a70670005f7_original.jpg)
9 years ago
Mwananchi07 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Hapa Na Pale: Lulu Awa Mtamu Chuoni!!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ , ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar.
Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya...
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Picha: Ni Kweli Lulu Ana Mimba?! Jionee Mwenywe Hapa
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka tena picha yake mtandaoni (hiyo hapo juu)akionekana mjamzito, hii ni mara ya pili baada ya hivi juzi kati kuweka picha ya mwanamke mjamzito bila kuonyesha sura yake, kitendo ambacho kilionekana kuwa sio yeye na niuongo kwani siku hiyo ilikuwa ni siki ya wajinga dunia.
Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema...
11 years ago
Michuzi09 Jul
MSIKILIZE MASANJA MKANDAMIZAJI ETI HATAMANI KWENDA MBINGUNI
11 years ago
TheCitizen23 Mar
Plea to give people good Katiba Deliver good Katiba to : Grant TZ good new call
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Takwimu ya wajane duniani kwa mwaka 2015 imenifikia, hii hapa yote..
Kuna takwimu za ishu kama magonjwa, rushwa, ajali huwa zinapewa kipaumbele sana kwenye vichwa vya habari kila kona, lakini takwimu nyingine hata kama zipo ni adimu kukutana nazo… Leo ni December 18 2015, tunahesabu wiki mbili tu kuimaliza 2015, takwimu za wajane zimenifikia na naanza kukuchambulia sasahivi. Ripoti ya Loomba Foundation World Widows inaonesha mpaka sasa […]
The post Takwimu ya wajane duniani kwa mwaka 2015 imenifikia, hii hapa yote.. appeared first on...
10 years ago
TheCitizen20 Mar
EDITORIAL: Good law will be good for us all, so don’t rush bill