Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu nitazaa bandika bandua

luluMtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Na Imelda Mtema
Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameapa kuwa muda wa kuanza kuzaa ukifika, atazaa mfululizo bila kupumzika hadi lengo la idadi ya watoto anaowataka litimie.

Akizungumza na Bongo Movies ya Amani, Lulu alisema hakuna kitu anachokipenda kama watoto hivyo atakapojipanga na kuwa tayari kuzaa, itakuwa ni bandika bandua kwani anataka kuwa na watoto wengi.

“Jamani hakuna...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Bandua, bandika Bunge la Katiba

TAARIFA za Kamati za Bunge Maalum la Katiba zinazoendelea kuwasilishwa bungeni, zimetoa taswira ya dhamira ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ya kuifutilia mbali rasimu iliyowasilishwa kwa Bunge hilo na iliyokuwa...

 

11 years ago

GPL

SAJENT: NITAZAA KIJIJI

Stori: Hamida Hassan KIMWANA Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’ amesema kuwa anapenda watoto hivyo yupo radhi kuzaa watoto wengi kupita maelezo hata kijiji kizima. Kimwana Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’. Sajent alifunguka hayo baada ya kuulizwa na safu hii kama ana mpango wa kuzaa tena tofauti na mtoto aliyezaa na Prezidaa wa Mashujaa Music Band, Charles Baba ‘Chaz Baba’....

 

10 years ago

GPL

SHAMSA: NITAZAA MPAKA NIAMBIWE BASI

Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona hawezi kutosheka kuzaa watoto wawili au watatu ila atakachofanya ni kuzaa tu mpaka atakapoambiwa hospitali inatosha. Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford. Akichezesha taya na mwandishi wa habari hii, Shamsa alisema kuwa tangu alipoanza uhusiano na mchumba wake aitwaye Dick kisha kuzaa naye, walikuwa wamepanga wazae angalau watoto saba ila...

 

10 years ago

Bongo Movies

JOHARI: Sina Matatizo Ya Kizazi, Nitazaa Nikiolewa

Mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini, Blandina Chagula  "Johari" amekanusha tetesi na uvumi kuwa anamatatizo ya kizazi na hivyo hawezi kushika ujauzito,kwa kusema kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu kuzalishwa.

Akizungumza na mwandishi wa GPL, Johari alisema kuwa endapo akitokea tayari yupo ndani ya ndoa anaweza kufanya hivyo lakini kwa maneno ya watu kamwe watasubiri kwani anaamini kizazi chake kipo imara...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA: NATAMANI KUONGEZA MTOTO, LAKINI NITAZAA NA NANI?

Mwandishi wetu Staa wa filamu mwenye mvuto wa kipekee Shamsha Ford, amefunguka kuwa anatamani sana kuzaa mtoto mwingine lakini bado anaumiza kichwa ni nani atakayezaa naye mtoto huyo ili isije ikatokea kama mwanzoni kwa baba wa mtoto wake. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Shamsha alisema hakuna kitu ambacho anakipenda kama watoto na pia kazi ya kulea anaifahamu vizuri sana hivyo alitamani mno kuongeza...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee: Sina mtoto wala watoto, Sijajua mpaka sasa nitazaa lini…Accept me the way I am

Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha ‘Diary Ya LadyJaydee’ kinachorushwa kupitia EATV. Jide akiwa na Mokonyo (mtoto wa mdogo wake Dabo) “SWALI: Una watoto wangapi? JIBU : Sina mtoto wala watoto SWALI:Utazaa […]

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani