SHAMSA: NITAZAA MPAKA NIAMBIWE BASI
![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGjKA0QZDg*-S0GSahuxyVSI1Bm50YWbgtZIDMn9-heNUWmCik9X0RH9wRqbaGQQBXZmQv2nb0uwuw4CzQQHt8Ey/Shamsa.jpg)
Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona hawezi kutosheka kuzaa watoto wawili au watatu ila atakachofanya ni kuzaa tu mpaka atakapoambiwa hospitali inatosha. Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford. Akichezesha taya na mwandishi wa habari hii, Shamsa alisema kuwa tangu alipoanza uhusiano na mchumba wake aitwaye Dick kisha kuzaa naye, walikuwa wamepanga wazae angalau watoto saba ila...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UJ8aoEZo49YnTmAZQdBJzaNXzLDH9w4eQQzYJQoQ0ybr8crXUr44WC2FI2zf*roOcX*6p8bE-xh9m94-YwEbkLqW6QUjcSwH/Shamsa.jpg)
SHAMSA: NATAMANI KUONGEZA MTOTO, LAKINI NITAZAA NA NANI?
10 years ago
Bongo518 Feb
Lady Jaydee: Sina mtoto wala watoto, Sijajua mpaka sasa nitazaa lini…Accept me the way I am
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pXWI1kxUZH6jFyQKicHSCr96SOdNjI*SIq6n4VXW1MjnTY-XTH7CCsXauxeUPMlUcBzF-30nsIp0fTFlaTGVgugIl6f0X8TB/wema.jpg)
WEMA: NAMCHUKIA HALIMA KIMWANA MPAKA BASI
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOYdYnxDvTQ*oKYaF*ksKVwbMJnOt2nN5FD8hOt*Pl27yiVY8gFSzkei2V-vbGG099t3B8K5U799U2QUMUxYXNaF/sajent.jpg?width=650)
SAJENT: NITAZAA KIJIJI
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Lulu nitazaa bandika bandua
Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Na Imelda Mtema
Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameapa kuwa muda wa kuanza kuzaa ukifika, atazaa mfululizo bila kupumzika hadi lengo la idadi ya watoto anaowataka litimie.
Akizungumza na Bongo Movies ya Amani, Lulu alisema hakuna kitu anachokipenda kama watoto hivyo atakapojipanga na kuwa tayari kuzaa, itakuwa ni bandika bandua kwani anataka kuwa na watoto wengi.
“Jamani hakuna...
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
JOHARI: Sina Matatizo Ya Kizazi, Nitazaa Nikiolewa
Mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini, Blandina Chagula "Johari" amekanusha tetesi na uvumi kuwa anamatatizo ya kizazi na hivyo hawezi kushika ujauzito,kwa kusema kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu kuzalishwa.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Johari alisema kuwa endapo akitokea tayari yupo ndani ya ndoa anaweza kufanya hivyo lakini kwa maneno ya watu kamwe watasubiri kwani anaamini kizazi chake kipo imara...
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...