LUNDENGA, MISS TANGA WAZICHAPA
Na Deogratius Mongela KW/RB/8441/2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori. Miss Tanga 1997, Mona Faraja anayedaiwa kujeruhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga. Ishu hiyo iliyonyakwa laivu na majirani ilijiri usiku wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMISS, MUMEWE WAZICHAPA
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Lundenga aitema Miss Tanzania
BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.
Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Mwishoni mwa mwaka jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo, Sitti Mtevu...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
LUNDENGA: Miss Tanzania inakuja kivingine
9 years ago
Habarileo28 Aug
Lundenga ajiweka kando Miss Tanzania
KAMPUNI ya Lino International Agency Limited ambao ni waandaaji wa shindano la kusaka mlimbwende wa Tanzania maarufu Miss Tanzania imeteua kamati mpya itakayoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano hayo.
10 years ago
Habarileo07 Oct
10 years ago
Mwananchi14 Dec
‘Lundenga mpe zawadi zake Miss TZ’
11 years ago
GPLMKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI MISS TANGA 2014
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Lundenga akana uvumi wa Miss Tanzania kujiuzulu
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu (pichani katikati) amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).
Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...