M-Pesa yarejea hewani,Vodacoma yawaomba radhi wateja wake kwa tatizo lililojitokeza
Wateja wa huduma ya M-pesa wamehakikishiwa usalama wa fedha zao wakati ambapo huduma hiyo ikiwa imerejea kwa asilimia mia moja baada ya kukosekana kufuatia tatizo la kiufundi lililojitokeza mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuwa huduma hiyo kwa sasa iko imara na kuchukua nafasi hiyo kuwoamba radhi wateja kwa usumbufu walioupata wakati huduma hiyo ilipokosekana.
“Napenda kuwaomba radhi wateja wetu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLM-PESA YAREJEA HEWANI
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
Skylight Band yakwea pipa kutumbuiza Oman, yawaomba radhi mashabiki wake Dar
Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini Oman.
Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya Ijumaa tarehe 10/10/2014 watakuwepo Thai Village pamoja na...
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!
[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.
Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND YAKWEA PIPA KUTUMBUIZA OMAN, YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE DAR
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
Tigo Pesa yarejesha tena faida ya shilingi 3bn/- kwa wateja wake
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Tigo imetangaza leo kwamba imetoa malipo yake ya kwanza ya kila robo mwaka ya kiasi cha shilingi bilioni 3 (dola milioni 1.8) kwa wateja wake wa Tigo Pesa. Mgao huu ni wa kwanza kati ya awamu nne za malipo zinazotarajiwa kufanyika kila mwaka.
Malipo haya yanafanyka miezi mitatu baada ya kampuni hiyo kulipa kiasi cha shilingi bilioni 14.25 (dola milioni 8.64) ambacho kilikuwa kimelimbikizwa katika mfuko wa fedha ya akaunti ya Tigo Pesa,...
11 years ago
MichuziNMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...
10 years ago
MichuziDAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...
10 years ago
VijimamboMODEWJI BLOG INAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI
Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii kwa taarifa zaidihttps://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.
There has been an undergoing DDOS attach on the server https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack. We...