Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M4PI yavuta zaidi ya vijana 180 Mwanza

Vijana wazalendo wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa wameratibu kampeni  na kuwezesha vijana wenzao na wananchi kwa ujumla kuzingatia maslahi ya umma na uwajibikaji kama kigezo cha kumpigia kura mgombea wa nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba ishirini na tano mwaka huu.

Vijana hao waliofuatilia mikutano ishirini  ya wagombea mbalimbali wa nafasi ya uraisi, baada ya kupima na kutafakari sera za wagombea hao wameamua kuungana na dokta John Pombe...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mazoezi Stars yavuta mashabiki Mwanza

Mashuti makali yaliyopigwa na wachezaji wa timu ya Taifa Stars kwenye mazoezi yao kwenye Uwanja wa CCM Kirumba yamewavutia mashabiki wachache waliofika ili kufuatilia mazoezi hayo.

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii.
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel Money yavuta wateja

KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Airtel imezidi kujiongezea idadi ya wateja tangu kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rufaa ya Wambura yavuta wanachama

KIKAO cha Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kilichokutana jana jijini Dar es Salaam kujadili rufaa ya Michael Wambura, kiliwavuta baadhi ya mashabiki na wanachama wa klabu...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana zaidi kufadhiliwa mafunzo ya gesi

SERIKALI imesema kuwa itaendelea na juhudi zake za kudhamini vijana kupata elimu ya mafuta na gesi wakidhi soko la ajira miaka ijayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya vijana 500 wakamatwa Tanzania

Zaidi ya Vijana 500 wamekamatwa wakihusishwa na vitendo vya uhalifu kwa makundi jijini Dar es Salaam

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star yazinduliwa jijini mwanza

 Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.   Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akisalimiana na wachezaji wa timu za Mwanza wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.

 

9 years ago

GPL

MAWAKALA ZAIDI YA 300 MWANZA WAWEZESHWA KUPATA MIKOPO

Afisa Masoko wa Airtel kanda ya ziwa akiongea na mawakali mara baada ya kuendesha semina inayowapatia fursa Mawakala wa Airtel Money nchi nzima kupata mikopo kupitia simu zao za mkononi. Wakala wa Airtel Money katika maeneo ya Metro Mwanza, Bwana John Hainga akichangia mada wakati wa semina ya mawakala inayowapatia fursa ya kupata mikopo isiyo na dhamana ijulikanayo kama Timiza Mikopo kwa Mawakala Kampuni ya simu za mkononi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani