Mazoezi Stars yavuta mashabiki Mwanza
Mashuti makali yaliyopigwa na wachezaji wa timu ya Taifa Stars kwenye mazoezi yao kwenye Uwanja wa CCM Kirumba yamewavutia mashabiki wachache waliofika ili kufuatilia mazoezi hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV01 Oct
M4PI yavuta zaidi ya vijana 180 Mwanza
Vijana wazalendo wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa wameratibu kampeni na kuwezesha vijana wenzao na wananchi kwa ujumla kuzingatia maslahi ya umma na uwajibikaji kama kigezo cha kumpigia kura mgombea wa nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba ishirini na tano mwaka huu.
Vijana hao waliofuatilia mikutano ishirini ya wagombea mbalimbali wa nafasi ya uraisi, baada ya kupima na kutafakari sera za wagombea hao wameamua kuungana na dokta John Pombe...
10 years ago
Habarileo12 Aug
Stars `mpya’ yaanza mazoezi
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza mazoezi katika Uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Twiga Stars waendelea kupiga mazoezi Karume
TIMU ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ inayonolewa na Kocha Mkuu Rogasian Kaijage, imeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi utakaochezwa Novemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Azam Chamazi.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Taifa-Stars-1.jpg)
TAIFA STARS YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO SAUZ
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/TAIFA-STAZ-21.jpg)
TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO
10 years ago
StarTV14 Aug
Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...
10 years ago
Michuzi28 Mar
MALAWI WAFANYA MAZOEZI CCM KIRUMBA LEO, TAYARI KUKUTANA NA TAIFA STARS KESHO JUMAPILI
Wakibadilishana Mawazo wakati Wachezaji wa Malawi wanajifua mara ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jioni ya leo.
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa...
9 years ago
Habarileo26 Aug
Kaijage ashukuru mashabiki Twiga Stars
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Rogasian Kaijage amewashukuru mashabiki wanaounda kundi la ushangiliaji wa timu za taifa waliokwenda kuwashangilia Zanzibar.