Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ma-DC undeni kamati za maabara’

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ameagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote, kuunda kamati za ufuatiliaji wa ujenzi na ukamilishaji wa maabara tatu za Kemia, Bayolojia na Fizikia kwa muda uliopangwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI ya Utendaji yaTFF imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi

KAMATI  ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi ili kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya michezo vya Kigamboni, Dar es Salaam na Tanga.
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

5 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole,  akieleza yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole alitoa maelezo hayo wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Waandishi wa habari.







Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani