Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho miaka 38 ya CCM yapamba moto


NA  DUSTAN   NDUNGURU,   SONGEA
MAANDALIZI ya sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yameanza kushika kasi mkoani Ruvuma, baada ya kuanza kuwasili kwa viongozi wa Chama kwa ajili ya sherehe hizo, zitakazofanyika Februari Mosi, mwaka huu, katika viwanja vya Majimaji.
Miongoni mwa viongozi walioanza kuwasili ni pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Taifa,  Abdallah Bulembo na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CCM NEW YORK YAPAMBA MOTO LEO KUPATA VIONGOZI

 WATU WAKIWA NA VAZI LA CHAMA JITIRIRSHE NA PICHA ZA SHAMLA SHAMLA YA UCGAGUZI HUO UNAOFANYIKA LEO KUANZA SAA 8 MCHA HADI SAA 1 USIKU.
 BWANA MALIMA NA VAZI LA CHAMA UTAWATAKAJE CCM LEO HII NI SIKU YAO
 BAHIA MAUNDI MGOMBEA UPANDE WA VIJANA WA CCM LEO HII KAZI HIPO





 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA MEI MOSI YAPAMBA MOTO CCM KILUMBA, MWANZA

 Timu ya Wanaume Wavuta Kamba wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati wa fainali ya michezo ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa CCM Kilumba Mkoani Mwanza leo. Timu ya Wanawake Wavuta Kamba wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipambana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati wa fainali ya michezo ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza leo. Meneja wa Timu za Michezo ya Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Suleman Kifyoga (wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI


 Kutoka kushoto ni Maria Rutayuga kuotoka Maryland, Jesca Kalemera kutoka New Jersey, Mercy Sukaya kutoka Michigan na Grace Mlingi kutaoka Maryland. Washiriki wakimsikiliza mmoja ya waratibu alipokua akiwaelekeza jambo kwenye hotel waliyofikia ya Double Tree iliyopo Dwntown Silver Spring.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Dkt. Bilal aongoza maadhimisho miaka 38 ya CCM Dar

IMG_0650

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam alipowasili Viwanja vya Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam jana Februari 02,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM.

IMG_0683

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI‏

 Miss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA‏

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani