Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADILI: Polisi kuwasaka wacheza ngoma ya ‘kigodoro’

>Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuanzishwa kwa operesheni maalumu ya kuwasaka wasanii wa ngoma wanaocheza wakiwa uchi maarufu kama kigodoro na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi kuwasaka wanaojiuza

Polisi mkoani hapa wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu kwa biashara hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano ulioko katika Chuo cha Polisi mjini Zanzibar.
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madiwani Iramba wataka Jeshi la Polisi kuwasaka waliofanya jaribio la kumuua DED kwa bomu

DSC03499

Katibu wa madiwani wa CCM wilaya ya Iramba na diwani wa kata ya Urughu, Simon Tyosela, akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamko lao la kulaani vikali jaribio la kutaka kumuawa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba, Halima Mpita Januari 2 mwaka huu saa 1.15 asubui akiwa nyumbani kwake.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,wamelaani vikali jaribio la kutaka kumuawa kwa bomu mkurugenzi...

 

11 years ago

Habarileo

IGP- Polisi zingatieni maadili

MAOFISA na askari Polisi wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi zao ili wawezeshe kutoa huduma bora na kuwezesha mapambano ya uhalifu kufanikiwa.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wataka vyama kuheshimu maadili

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Omar Hamdani amewataka viongozi wa vyama vya siasa, kuheshimu maadili na kuzingatia sheria za uchaguzi ili kulinda amani na utulivu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya mauaji Polisi Moshi ngoma nzito

UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayowakabili  raia wawili wa Kenya na Mtanzania mmoja wanaotuhumiwa kumuua  askari wa Jeshi la Polisi, Ex. PC Michael Milanzi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kigodoro, kangamoko marufuku

NGOMA za kigodoro, kangamoko na nyingine ambazo huchezwa usiku katika maeneo kadhaa jijini Dar es Salaam, zimepigwa marufuku na polisi kwa kile kilichoelezwa zimegeuzwa kuwa sehemu ya uhalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani