Maafa yametuacha watupu
Baadhi ya wananchi wa Dumila, Kilosa mkoani Morogoro ambao walikumbwa na mafuriko, wamesema maafa hayo yamewaacha watupu, kutokana na kila walichokuwa nacho kusombwa na maji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-30L0XdpbSqg/XneOu9jVFgI/AAAAAAALkvk/NFBm7AjY66A_1RQ114aMsSPmDO2n35tvgCLcBGAsYHQ/s72-c/P6-2.jpg)
KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO
![](https://1.bp.blogspot.com/-30L0XdpbSqg/XneOu9jVFgI/AAAAAAALkvk/NFBm7AjY66A_1RQ114aMsSPmDO2n35tvgCLcBGAsYHQ/s640/P6-2.jpg)
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...
9 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA
10 years ago
Habarileo02 Oct
Mbaroni kwa kucheza wakiwa watupu
WATU wanne wakazi wa eneo la Masasi Mbovu (Masasi ya zamani) mjini Masasi wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kucheza uchi, kwa staili inayoitwa Kigodoro kwenye sherehe ya ndoa.
10 years ago
Habarileo19 Oct
Kizimbani kwa kucheza “vigodoro” wakiwa watupu
WAKAZI wa eneo la Masasi Mbovu katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani kujibu shitaka linalowakabili la kucheza wakiwa watupu kwa staili ya vigodoro kwenye sherehe ya ndoa.
10 years ago
Bongo517 Jun
Video: Kuna TV ya Venezuela ambayo watangazaji wa kike wanasoma habari wakiwa watupu (Video)