MAAFISA TUME WAFUNZWA STADI ZA UCHUNGUZI
Mkurugenzi wa Idara ya Haki za Binadamu, Bwana Francis Nzuki akifungua rasmi mafunzo ya stadi za uchunguzi yanayofanyika katika hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Mafunzo hayo ya wiki moja kuanzia Machi 31—4, 2014 yamelenga kuwaongezea maafisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) stadi za kiuchunguzi hasa wanapofanya uchunguzi unaohusiana na kazi za kila siku za Polisi. kushoto ni muwezeshaji kutoka Tume ya Haki za Binadamu ya Afrika Kusini Bibi. Lindiwe Khumalo na kulia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV02 Oct
Waislamu waiomba Serikali kuunda tume ya uchunguzi
Waislamu nchini wametaka kuundwa Tume ya Uchunguzi ya Hijja kutokana na vifo vya mahujaji vilivyotokea mwaka huu wakati wa Ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia.
Waislamu hao wametaka tume hiyo ishirikishe nchi zote ambazo mahujaji wake wamefariki katika hijja ya mwaka huu walipokuwa wakimtupia jiwe shetani eneo la Minna Saudi Arabia.
Wakizungumza kwa mwavuli wa Muungano wa Waislamu wa madhehebu mbalimbali nchini, Masheikh hao wa taasisi tofauti wametoa tamko ambalo pia linapendekeza Serikali...
11 years ago
BBCSwahili27 May
Maafisa wa Tume ya uchaguzi matatani Malawi
10 years ago
Michuzi10 Sep
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!
baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko
Na.Jumbe Ismailly.
[Ikungi-SINGIDA] Mkuu wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...
10 years ago
MichuziTUME ya haki za binadamu yatoa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi za kuwapiga na kuwazalilisha Viongozi na Wafuasi wa CUF
10 years ago
MichuziSERIKALI YATOA TAARIFA YA TUME KUKAMILISHA KAZI YA UCHUNGUZI DHIDI YA MASWI KUHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW NA ILE YA OPERESHENI TOKOMEZA
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
IS:Wapiganaji wafunzwa urubani
10 years ago
Habarileo05 May
Majaji wafunzwa ‘kufunga’ wala rushwa
BAADA ya kupoteza kesi nyingi inazopeleka mahakamani, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeshtuka na kuleta wataalamu kutoka nje ya nchi kuwafundisha mahakimu, majaji, waendesha mashitaka na wapelelezi wa kesi za rushwa juu ya namna ya kuwasilisha ushahidi ukiwemo ushahidi wa mazingira ambao ni muhimu katika kesi za rushwa.
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Watoto wafunzwa fikra za Osama Pakistani
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10