Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif Afungua Masjid Aqsaa Kiboje Mkwajuni Unguja

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua pazia kuashiria ufunguza rasmi wa MASJID AQSAA katika kijiji cha Kiboja Mkwajuni, Wilaya ya Kati Unguja.Sheikh Abdalla Rajab, akisoma risala ya wazee wa MASJID AQSAA ulioko Kiboje Mkwajuni wakati wa hafla hiyo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na, viongozi wa dini ya kiislamu nchini pamoja na waislamu mbali mbali wakisikiliza hotuba ya Ijumaa iliyotolewa na Katibu wa Mufti wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maalim seif azindua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Zanzibar

Na Hassan Hamad (OMKR) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasisitiza waislamu nchini kuachana na tabia ya kugombania misikiti, kwani haisaidii kuendeleza dini hiyo. Amesema misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu, hivyo hakuna sababu kwa waislamu kulumbana kwa sababu za kugombea uongozi au kutokana na tofauti ya kimadhehebu. Maalim Seif ametoa nasaha hizo wakati akifungua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Wilaya ya Kati...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA AMANI KARUME WASHIRIKI KWENYE FUTARI YA PAMOJA MASJID IMANI UNGUJA

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na waislamu mbali mbali wakati akiwasili “Masjid Imani” iliyoko Mbweni kwa ajili ya kufutari. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, wakisalimiana na waislamu mbali mbali katika “Masjid Imani” iliyoko Mbweni walipofika kwa ajili ya kufutari. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, akipokea zawadi ya misahafu kutoka kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MASJID APPEAL-MADRASSATUL AQSAA

URGENT MASJID  APPEAL MADRASATUL  AQSAA COVENTRY (Reg Charity No 1148412)  We humbly appeal to All Islamic Organisation and Muslims for kind and argent financial support to purchase building for Masjid and Madrasah. The purchase price of the building is £300,000. We have only six months to pay this sum You can donate by: 1- Making a Standing Order will ensure you donate a regular amount to this noble cause. 2- Sending us a cheque made payable to Madrasatul Aqsaa 3- Making a refundable...

 

10 years ago

Michuzi

maalim seif ziarani Wilaya ya Kaskazini B unguja

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.  Matawi na barza alizoweka mawe ya msingi ni pamoja na Kiombamvua, Mkaratini, Mgambo, Kilombero, Kipandoni na Kiwengwa Cairo. Hata hivyo, mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike katika viwanja vya Kipandoni umehairishwa, kwa madai kuwa haukupata kibali kutoka kwa jeshi la polisi.  Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE UNGUJA

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B". Wananchi wakimsalimia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B". Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimfariji kijana mgonjwa wakato akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF KATIKA ZIARA YA MASOKONI UNGUJA

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi kuangalia upatikanaji wa bidhaa hizo zinazotumika zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi kuangalia upatikanaji wa bidhaa hizo zinazotumika zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.  Makamu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AFANYA ZIARA WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA


 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika barza ya CUF ya WENYE WIVU WAJINYONGE katika eneo la Kitope Mkaratini..Vijana wa barza ya HATUDANGANYIKI  ya Kiwengwa Cairo wakimsikiliza Maalim Seif wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika barza hiyo (Picha na OMKR)

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B"...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.(Picha na Salmin Said, OMKR)
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani