MAALIM SEIF ATINGA KIZIMBANI KUSIKILIZA KESI YA LIPUMBA
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad leo amehudhuria katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba na wenzake 30 wa chama hicho.
Maalimu Seif alifika na msafara wake wa magari matatu Mahakamani hapo majira ya saa nne asubuhi.
Hakimu wa Makakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,Cyprian Mkeha amesema washitakiwa hao wanadaiwa kufanya kosa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLLULU ATINGA MAHAKAMA KUU DAR KUSIKILIZA KESI YAKE
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Mtemvu atinga Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Lipumba, Maalim Seif waongoza tena CUF
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amechaguliwa tena kuendelea na wadhifa huo. Ingawa matokeo kamili ya uchaguzi huo yanatarajiwa kutangazwa leo, lakini taarifa za awali tulizozipata wakati...
11 years ago
Habarileo24 Jun
Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.
11 years ago
Habarileo23 Jun
UCHAGUZI WA CUF:Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.
10 years ago
Dewji Blog27 Jan
KINANA atinga jimbo la Mtambwe alikozaliwa Maalim Seif Sharrif Hamad wa CUF, azindua miradi ya Umeme, Maji
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...
10 years ago
VijimamboKatibu wa CUF Maalim Seif Akanusha kuhama kwa Mwenyekiti wake Mhe Pro. Ibrahim Lipumba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amekanusha taarifa za kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.
Amesema akiwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, hajapokea taarifa zozote za kujiuzulu kwa Prof. Lipumba, na kwamba hadi saa nne za usiku wa jana Jumatatu ya tarehe 03/08/2015, alikuwa na...
11 years ago
MichuziMAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI