Maalim Seif: Hakuna wa kuzuia mabadiliko Oktoba 25
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF chini ya mwamvuli wa Ukawa, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakuna wa kuyazuiya mabadiliko yajayo kupitia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Balozi Seif amponda Maalim Seif
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Oktoba 25, siku muhimu ya mabadiliko ya Watanzania
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
NEC: Hakuna wizi na udanganyifu wa kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akisalimiana na Mwakilishi wa Chama cha Kitaifa cha Watu Wasioona Zanzibar (ZANAB), Adili Mohamed wakati wa mkutano baina ya taasisi za watu wenye ulemavu nchini na NEC iliyofanyika leo Jumanne Septemba 29, 2015 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akisalimiana na Mwakilishi wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Mkoa wa Dar es Salamm Mohamed Chazi ...
10 years ago
Mwananchi22 Jan
NEC: Hakuna mabadiliko ya ratiba Daftari la Wapigakura
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Hakuna siasa kwenye mabadiliko ya nauli - Sumatra
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Maalim Seif amtega JK
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...
10 years ago
Mtanzania09 Sep
‘Maalim Seif ni Popo’
![maalim seif sharif hamad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/maalim-seif-sharif-hamad.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.
Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
JK akutana na Maalim Seif
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Maalim Seif: Sawasawa
Na Waandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimezindua kampeni za Urais Zanzibar kwa kishindo huku mgombea wake, Maalimu Seif Sharif Hamad, akiahidi ajira kwa Wanzibari wote ndani ya miaka mitano na kubadilisha uchumi wa nchi hiyo kuwa imara kama ule wa Singapore.
Akizungumza na maelfu ya wananchi wa visiwa hivyo waliojitokeza jana kwenye uwanja wa Kibanda Maiti Unguja, Maalim Seif alisema endapo atapatiwa ridhaa ya kuongeza nchi, atapigania pia mamlaka kamili ya Zanzibar ikiwa ni...