Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif: Tutazunguka nchi nzima kupinga Katiba Inayopendekezwa

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama chake kitazunguka nchi nzima kupiga kampeni ili wananchi waikatae Katiba Inayopendekezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema waanza safari ya kupinga Katiba nchi nzima

Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuendesha kampeni ya kupinga Katiba Inayopendekezwa kwa viongozi wake wakuu pamoja na wale wa mabaraza yake kufanya ziara katika mikoa mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif afungua Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akilifunguwa Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi akitoa nena la shukrani kwa Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kulifungua Kongamano la Wanawake na Uongozi.Baadhi ya Wanawake walioshiriki kwenye Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif afunguwa Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa,Zanzibar leo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akilifunguwa Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi akitoa nena la shukrani kwa Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kulifungua Kongamano la Wanawake na Uongozi.Mtangazaji wa Zamani wa Kituo cha Matangazo ya Televisheni Zanzibar Karume House Bibi Neema...

 

10 years ago

Mwananchi

Shaka amsimanga Maalim Seif kutibiwa nje ya nchi

>Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM), Shaka Hamdu Shaka amesema uchumi wa Zanzibar ungekuwa mbovu, Serikali isingeweza kumlipia Sh80 milioni kila safari moja, Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad kwenda kutibiwa India.

 

11 years ago

CloudsFM

UKAWA KUANDAMANA NCHI NZIMA KUMSHINIKIZA RAIS KUSITISHA BUNGE LA KATIBA

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.
Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha Katiba isiyotokana na maoni yao, huku kanuni zikibadilishwa na kuingizwa mambo ya Tanganyika katika Rasimu ya Katiba ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif Awasili Zanzibar Akitokea Ziarani Nchi Qatar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Marubani wa Ndege ya Serekali baada ya kuwasili uwanja wa Kamataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Qatar alikokuwa na ziara ya Kiserekani Nchini humo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akivishwa shada la mauwa na Vijana walioandaliwa wakati wa mapokezi yake baada ya kumaliza ziara yake Nchi Qatar Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif: Z`bar hatuikubali Katiba

Awataka wananchi waikataeChama cha Wananchi (CUF) kimesema hakiikubali Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haina maslahi ya wananchi wa Zanzibar.Badala yake chama hicho kimewataka Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK).

Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Demokrasia vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar.

“Wananchi,...

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif azunhgumza na Balozi wa Tanzania Nchi Zimbabwe Afisi Kwake.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe huku ofisni kwake Migombani mjini Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe huku ofisni kwake Migombani mjini Zanzibar.(Picha na Salmin Said OMKR)

Na Khamis Haji OMKR.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema wananchi wa Tanzania na Zimbabwe wanayo nafasi...

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif ataka mazungumzo Katiba mpya

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Serikali imeshatumia fedha nyingi za wananchi kwenye mchakato wa kuandaa Katiba mpya, hivyo kitendo cha kushindwa kukamilisha mchakato huo kwa wakati, itakuwa ni hasara kubwa kwa taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani