Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAMUZI YA TUME YA BUSARA KUHUSIANA NA UPIGAJI KURA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Tume yatoa mwongozo upigaji kura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mwongozo wa mambo muhimu, ambayo wapigakura wote wanatakiwa kuyazingatia ili wapige kura bila matatizo Jumapili wiki hii katika uchaguzi mkuu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Uchaguzi ‘NEC’ yaombwa zoezi la upigaji kura lianze saa 12:00 Asubuhi Shinyanga

DSC01147

Baadhi ya waandishi wa habari 25 kutoka mikoa ya Singida, Katavi, Kigoma na Shinyanga,waliohudhuria mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Vigimark hotel nje kidogo ya mji wa Shinyanga. Mafunzo hayo ya siku tano, yaliratibiwa na Baraza la habari (MCT) na kufadhiliwa na BBC Media Action .Wa tatu kulia waliosimama, ni mwandishi wa habari wa Modewji blog, Singida, Bw. Nathaniel Limu.

DSC01142

Baadhi ya barabara ndani ya manispaa ya Shinyanga.(Picha na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Kariakoo kuhusu upigaji kura

Wapiga kura Tanzania walifika vituoni mapema kupiga kura kuwachagua viongozi wapya. Wanamchagua rais mpya, wabunge na madiwani. Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alizungumza na baadhi yao

 

9 years ago

Michuzi

Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za madiwani kupinga Maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini. Pia jumla ya rufaa 198 za madiwani kutoka Halmashauri mbalimbali.Tume imeanzakupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka majimboni. Imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge.  Leo tarehe 31/82015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa 38. Zilizobaki mawasiliano yanaendelea kati ya Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaridhishwa na upigaji kura

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na upigaji kura uliofanyika nchi nzima Jumapili kuwa ulikuwa wa amani na utulivu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kasoro kibao upigaji kura

Watu wasiojulikana wameteketeza kwa moto vifaa vya kupigia kura wilayani Sumbawanga, huku wasimamizi wasaidizi watatu wa uchaguzi katika Jimbo la Vunjo wakipigwa na kujeruhiwa kwa madai ya kusambaza kura zisizo halali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Upigaji kura waendelea Nigeria

Upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Nigeria unaendelea kwenye vituo kadha kwa siku ya pili kutokana na matatizo ya kiufundi

 

9 years ago

Michuzi

Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge na Madiwani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za Wabunge kupinga Maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini. Pia jumla ya rufaa 200 za madiwani kutoka kwenye kata za Halmashauri mbalimbali.
Tume inaendelea kupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka Halmashauri mbalimbali. Pia imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge tarehe 31/8/2015.  Leo tarehe 01/9/2015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa za Madiwani 53. 
Kati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani