Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zitazofanyika Dubai april 14, 2014

Mhe. Omar Mjenga (shati la Mandela katikati), Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa jumuiya ya watanzania waishio UAE.  Kikao hicho kilichohudhuriwa kwa wingi na vijana wa Jumuiya kilijadili hatua za mwisho za maandalizi ya sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano zitakazofanyika Le Meridien Hotel, Dubai.  Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, Rais wa Shirika la Ndege la Emirates na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya siku ya Taifa ( National Day) kusherehekea miaka 50 ya Muungano mjini Dubai

 Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai,  Mhe. Omar Mjenga,  amefanya kikao cha maandalizi ya siku ya Taifa ( National Day) kusherehekea miaka 50 ya Muungano pamoja na uongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio UAE makao yao yakiwa Dubai.   Kushoto ni ndugu Shabir Damji, katibu wa Jumuiya, kati ni Bi Shamira ambaye ni  mwenyeji wa sherehe hizo katika Le Meridien Hotel na Mhe Omar Mjenga, mjini Dubai leo. Chini wakipanga namna ya kufanikisha sherehe hizo

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Lowassa katika mkesha wa sherehe za miaka 51 ya muungano mjini Dubai leo

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi

Picha DC TMK

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.

Picha na 1

Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Maandalizi ya sherehe za Muungano Washington DC


Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akizungumzia maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano ofisini kwake Washington Dc Jumatano, Aprili 23, 2014.
Photo: Sunday Shomari

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano waTanzania kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 25 hadi 26 Aprili, 2014 nchini Ujerumani

KARIBUNI WOTE
Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”.
Katika kuadhimisha sherehe hii kubwa na muhimu, Ubalozi umeamua kuandaa Kongamano la Biashara (Investment Forum) kwa siku ya tarehe 25 Aprili, 2014 pamoja na siku ya terehe 26 Aprili, 2014 kuwa siku ya mdahalo (Scholars' day) mjini Berlin, Ujerumani. 
Madhumuni makubwa ya Kongamano hili ni kuwatangazia na kuwaonyesha...

 

11 years ago

Dewji Blog

CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe/ Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano zitakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani