Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maandalizi ya siku ya Taifa ( National Day) kusherehekea miaka 50 ya Muungano mjini Dubai

 Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai,  Mhe. Omar Mjenga,  amefanya kikao cha maandalizi ya siku ya Taifa ( National Day) kusherehekea miaka 50 ya Muungano pamoja na uongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio UAE makao yao yakiwa Dubai.   Kushoto ni ndugu Shabir Damji, katibu wa Jumuiya, kati ni Bi Shamira ambaye ni  mwenyeji wa sherehe hizo katika Le Meridien Hotel na Mhe Omar Mjenga, mjini Dubai leo. Chini wakipanga namna ya kufanikisha sherehe hizo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zitazofanyika Dubai april 14, 2014

Mhe. Omar Mjenga (shati la Mandela katikati), Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa jumuiya ya watanzania waishio UAE.  Kikao hicho kilichohudhuriwa kwa wingi na vijana wa Jumuiya kilijadili hatua za mwisho za maandalizi ya sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano zitakazofanyika Le Meridien Hotel, Dubai.  Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, Rais wa Shirika la Ndege la Emirates na...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Lowassa katika mkesha wa sherehe za miaka 51 ya muungano mjini Dubai leo

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi

Picha DC TMK

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.

Picha na 1

Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KUADHIMISHA NA KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA MIAKA 25 BAADA YA BEIJING

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara na Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la Wanawake katika kutekeleza  ushauri wa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.  Ummy Mwalimu kuhusu  tahadhari  dhidi ya Virusi vya Ugonjwa wa  Corona, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZANOGA UWANJA WA TAIFA

;Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Mohamed Ali Shein na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa na viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika kwnyesherehe za Miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi, Mfalme Mswati wa III  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANYIKA MJINI BEIJING, CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China, Mh Abdulrahman Shimbo akitoa mawaidha kwa waalikwa katika sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) zilziofanyika Ubalozini mjini hapa. Mh Balozi Shimbo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Beijing (TZ-SUB).(Picha na Salum Ramadhan)Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Beijing (TZ-SUB), Ireneus Kagashe (kulia) akitoa utangulizi katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani