Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano ya suruali za ndani

Waandamanji washusha bendera iliokuwa imewekwa juu ya jumba la rais na kupandisha suruali ya ndani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaovalia suruali za kubana waonywa

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 35 alilazimika kutolewa ndani ya suruali ndefu aina ya Jeans, baada ya miguu yake kuvimba kupita kiasi.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI UNAMUACHA MUMEO ANALALA NA SURUALI?

BILA shaka wiki iliyopita mlifurahia mada ya n‘makosa ya wanawake, wanaume katika kuridhishana’ kwani nilipata ujumbe (SMS) kutoka kwa watu mbalimbali wakielezea kuguswa na mada hiyo. Wapo walioomba ushauri wa jinsi ya kumtendea mume ili ndoa iwe na Amani muda wote. Lakini kuna ujumbe wa mwanamke mmoja ulinifikia akilalamikia kuhusu tabia iliyokomaa ya mumewe kulala na suruali mpaka asubuhi. Na mimi nikaamua kutumia...

 

10 years ago

Mwananchi

Siri ya wanaume kupenda kuvaa suruali nyeusi

Nimesimama Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, saa moja asubuhi kusubiri usafiri wa kuelekea kazini. Watu ni wengi, kila mmoja yuko makini kufuatilia mabasi yanayoingia kituoni hapo.

 

10 years ago

GPL

FEDHEHA KUBWA MUME WA MTU AKUTWA NA CHANGUDOA AKIVAA SURUALI

WAANDISHI WETU Ikiwa kwenye misele ya mlala nje, ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, imenasa tukio la aina yake ambapo mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wa mtu amekutwa na mwanamke changudoa akivaa suruali baada ya kuvunja amri ya sita ya Mungu kwenye eneo la biashara ya mamantilie! Wakihamaki baada ya kukurupushwa. Tukio hilo la aina yake lilinaswa kwenye uchochoro mmoja, maeneo ya Mwenge, Dar,...

 

10 years ago

Bongo5

Fella adai alipigwa mkwara na mashehe kwa kumvalisha suruali Bibi Cheka

Said Fella amedai kuwa mashehe walihi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka. Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao walimfuata na kumwambia Bibi Cheka anatakiwa kuswali na sio kufanya muziki. “Kuna muda si unajua dini yangu ya Kiislam wakatokea mashehe ‘ehh bwana unajua yule bibi mzee, kwanini mnamvalisha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani