Fella adai alipigwa mkwara na mashehe kwa kumvalisha suruali Bibi Cheka
Said Fella amedai kuwa mashehe walihi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka. Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao walimfuata na kumwambia Bibi Cheka anatakiwa kuswali na sio kufanya muziki. “Kuna muda si unajua dini yangu ya Kiislam wakatokea mashehe ‘ehh bwana unajua yule bibi mzee, kwanini mnamvalisha […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo14 Dec
Mshitakiwa akana maelezo, adai alipigwa
MSHITAKIWA katika kesi ya kuisababishia hasara kampuni ya kitalii ya sh milioni 800, Charles Minja (36) amekana maelezo yake na kusema alilazimishwa kuyaandika. Mshitakiwa huyo anashitakiwa na mwajiri wake wa zamani kampuni ya Utalii ya Leopard Tours kwa kuisababishia hasara ya Sh milioni 800 na kutoa risiti feki za kuonesha malipo.
10 years ago
CloudsFM26 Nov
FELA: WATANZANIA TUMSAIDIE BIBI CHEKA
Jumatatu ndani ya xxl ya Clouds Fm alimsikika msanii mwenye umri mkubwa hapa Bongo,Bibi Cheka akifunguka kuwa kilichomkwamisha kuvunja chumba chake kilichojengwa kwa udongo ili ajenge cha matofali ni shilingi laki mbili, kwa sababu tayari ana matofali zaidi ya 400. Bibi Cheka aliwaomba Watanzania wamsaidie hiyo pesa kwasababu hali yake kiafya siyo nzuri.
Clouds FM imepiga stori na mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae ambao ndio wana mmiliki Bibi Cheka kama msanii, ili kujua kama wana...
10 years ago
CloudsFM24 Nov
BIBI CHEKA ANATAFUTA LAKI MBILI ILI AWEZE KUVUNJA NYUMBA YA UDONGO NA KUJENGA YA MATOFALI
Msanii wa Hip Hop Bongo, mwenye umri mkubwa kuliko wote, Bibi Cheka, wiki iliyopita kupitia Clouds Fm alifunguka kuwa alikuwa anaumwa na ameanza kurudi kwenye hali yake baada ya kuanguka ghafla miezi mitatu iliyopita, Bibi Cheka pia akaonjesha ladha ya ngoma yake mpya ambayo muda wowote ;label’ yake ya Mkubwa Na Wanae wataiachia.
Kama unavyofahamu umaarufu zaidi unahitaji usalama zaidi, lakini mazingira anayoishi Bibi Cheka pande za Bunju jijini Dar Es Salaam, kwenye kichumba cha udongo,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NahaGYsbu0xOxUjGxq4qOssw6M4GOKTW9Z5HjOJAxx6EpGLrPBLmHeXiku2wbguEaW18fdFVcqUuFbVUkismRjdz/image.jpg?width=650)
KWA NINI UNAMUACHA MUMEO ANALALA NA SURUALI?
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Mwambusi aanza kwa mkwara Yanga
KOCHA mpya wa Yanga aliyetangazwa kuchukua nafasi ya Boniface Mkwasa, Juma Mwambusi amesema kuwa ataziba pengo la kocha huyo. Mwambusi kabla ya kujiunga na Yanga alikuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City aliyoisaidia kupanda daraja kutokea ligi daraja la kwanza.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Sitta aanza kwa mkwara mzito
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Makocha wapya Yanga waanza kwa mkwara
MAKOCHA wapya wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondamali ‘Mensah’ wameanza kukinoa kikosi cha klabu hiyo huku wakiwaonya wachezaji hasa watovu wa nidhamu. Pondamali na Mkwasa wameanza kuinoa timu...