Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta aanza kwa mkwara mzito

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani mara moja kwa watumishi wa uwanja wa ndege ambao dawa za kulevya zitapita wakiwa kwenye zamu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mwambusi aanza kwa mkwara Yanga

KOCHA mpya wa Yanga aliyetangazwa kuchukua nafasi ya Boniface Mkwasa, Juma Mwambusi amesema kuwa ataziba pengo la kocha huyo. Mwambusi kabla ya kujiunga na Yanga alikuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City aliyoisaidia kupanda daraja kutokea ligi daraja la kwanza.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yachimba mkwara mzito

Wakati pazia la usajili likifungwa leo, Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesisitiza kuwafungia wote watakaohusika na vitendo vya rushwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanri amtwanga mkwara mzito Mkurugenzi Maswa

Aggrey Mwanri NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri amempa siku 30 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kuhakikisha wazee wanaostahili kupewa matibabu bure wanaorodheshwa haraka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta achimba mkwara

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amewaonya wajumbe wanaozungumza hovyo bungeni bila idhini ya kiti akisema wataingia kwenye matatizo bure. Sitta alitoa angalizo hilo bungeni jana alipokuwa akitoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta amchimba mkwara mkewe

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alimchimba mkwara mkewe Margareth Sitta kuwa angepata tabu san      a kama angekosea kupiga kura.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makocha wapya Yanga waanza kwa mkwara

MAKOCHA wapya wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondamali ‘Mensah’ wameanza kukinoa kikosi cha klabu hiyo huku wakiwaonya wachezaji hasa watovu wa nidhamu. Pondamali na Mkwasa wameanza kuinoa timu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkwara wa Gwajima kwa Kova wazaa matunda

Hoja za kisheria alizowasilisha Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuhusu kutakiwa kuwasilisha nyaraka 10 za utajiri na usajili wa kanisa lake polisi zimezaa matunda.

 

10 years ago

Bongo5

Fella adai alipigwa mkwara na mashehe kwa kumvalisha suruali Bibi Cheka

Said Fella amedai kuwa mashehe walihi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka. Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao walimfuata na kumwambia Bibi Cheka anatakiwa kuswali na sio kufanya muziki. “Kuna muda si unajua dini yangu ya Kiislam wakatokea mashehe ‘ehh bwana unajua yule bibi mzee, kwanini mnamvalisha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani