Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FELA: WATANZANIA TUMSAIDIE BIBI CHEKA

Jumatatu ndani ya xxl ya Clouds Fm alimsikika msanii mwenye umri mkubwa hapa Bongo,Bibi Cheka akifunguka kuwa kilichomkwamisha kuvunja chumba chake kilichojengwa kwa udongo ili ajenge cha matofali ni shilingi laki mbili, kwa sababu tayari ana matofali zaidi ya 400. Bibi Cheka aliwaomba Watanzania wamsaidie hiyo pesa kwasababu hali yake kiafya siyo nzuri.


Clouds FM imepiga stori na mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae ambao ndio wana mmiliki Bibi Cheka kama msanii, ili kujua kama wana...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Fella adai alipigwa mkwara na mashehe kwa kumvalisha suruali Bibi Cheka

Said Fella amedai kuwa mashehe walihi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka. Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao walimfuata na kumwambia Bibi Cheka anatakiwa kuswali na sio kufanya muziki. “Kuna muda si unajua dini yangu ya Kiislam wakatokea mashehe ‘ehh bwana unajua yule bibi mzee, kwanini mnamvalisha […]

 

10 years ago

CloudsFM

BIBI CHEKA ANATAFUTA LAKI MBILI ILI AWEZE KUVUNJA NYUMBA YA UDONGO NA KUJENGA YA MATOFALI

Msanii wa Hip Hop Bongo, mwenye umri mkubwa kuliko wote, Bibi Cheka, wiki iliyopita kupitia Clouds Fm alifunguka kuwa alikuwa anaumwa na ameanza kurudi kwenye hali yake baada ya kuanguka ghafla miezi mitatu iliyopita, Bibi Cheka pia akaonjesha ladha ya ngoma yake mpya ambayo muda wowote ;label’ yake ya Mkubwa Na Wanae wataiachia.

Kama unavyofahamu umaarufu zaidi unahitaji usalama zaidi, lakini mazingira anayoishi Bibi Cheka pande za Bunju jijini Dar Es Salaam, kwenye kichumba cha udongo,...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Tumsaidie Dk Magufuli kutimiza malengo haya

Juzi, Rais John Magufuli alizindua Bunge la Kumi na Moja na kuainisha kero lukuki zinazokwamisha maendeleo ya wananchi na jinsi ya kukabiliana nazo.

 

9 years ago

Vijimambo

TUMSAIDIE NATALIA ANAHITAJI MSAADA WAKO

My name is Natalia. I am a MN resident. In 2008 I began feeling sick with pain everywhere. I went to see different doctors none of which could determine what was wrong with me. As time passed without diagnosis or treatment the pain became so severe almost disabling me physically. I was confined to my bed. It was difficult as i had no help. As sick as i was, God enabled be to have a strong heart and mind set. I was able to drag myself to the kitchen to make poridge and milk. That is all i ate...

 

10 years ago

Bongo5

Said Fela agombea uenyekiti wa serikali za mtaa

Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fela anawania uenyekiti wa serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke kupitia CCM. “Leo wadau naomba dua zenu nagombea serikali ya mtaa uku kwetu kirungule na nipo na mgombea mwenzangu ndio tunagombania hiki kiti apate yeye au nibebe Mimi inshaallah,” ameandika Fela kwenye Instagram.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumsaidie huyu aliyelazwa hospitali miaka 45

Siku mbili zilizopita tulichapisha picha na habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti hili kuhusu mgonjwa anayejulikana kwa jina la Abdi Lanjui ambaye amelazwa wodini katika Hospitali ya Singida kwa miaka 45 sasa, kutokana na ajali mbaya aliyopata mwaka 1971.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Tumsaidie Mkwasa atimize wajibu wake Stars

Ni dhahiri kwamba vilio vya wadau wa soka nchini waliotaka aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij atimuliwe kazi vimetimia.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tumsaidie Rais kudhibiti na kukomesha mauaji ya albino

>Rais Jakaya Kikwete kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi amezungumzia tatizo la mauaji ya albino, akisema Serikali imelipa uzito mkubwa suala la kudhibiti na kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi au kukatwa baadhi ya viungo vyao wenyewe wakiwa hai.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani