Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano yazimwa,Israel

Polisi nchini Israel wakiwa juu ya Farasi wamekabiliana na waandamanaji kutoka makundi ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mitambo ya analojia yazimwa Tanzania

Tanzania imeingia awamu ya 2 ya mpango wake wa kuhama kutoka mfumo wa analojia kwenda dijitali, kwa kuzima mitambo ya analojia katika baadhi ya miji

 

5 years ago

CCM Blog

MITANDAO YA KIJAMII YAZIMWA UCHAGUZI MKUU BURUNDI

Wagombea saba hii leo wanawania kumrithi Pierre NkurunzizaImage captionWagombea saba hii leo wanawania kumrithi Pierre NkurunzizaMitandao ya kijamii imezimwa huku wananchi wakiendelea kupiga kura nchini Burundi katika uchaguzi mkuu hii leo.BBC imethibitisha kuwa mitandao ya Twitter, Whatsapp na Facebook kuwa haipatikani nchini humo.Serikali ya Burundi hata hivyo haijalizungumzia suala hilo.Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa toka saa 12 asubuhi na vitafungwa saa 10 alasiri.Wagombea saba wanawania hii leo kumrithi Pierre Nkurunziza, hata hivyo...

 

11 years ago

GPL

Simba ndiyo basi tena.. yazimwa Taifa

Kikosi cha  timu ya Somba SC kilichocheza dhidi ya Coastal Union. Na Hans Mloli
MATARAJIO ya Simba kupata angalau nafasi ya pili ili kushiriki michuano ya kimataifa mwakani yamezidi kupotea baada ya jana kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union ya Tanga, katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani