Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabadiliko makubwa ya kisera kuinua wajasiriamali wadogo na wa kati

Mkuu wa utafiti na machapisho ESRF profesa Fortunata makene akifungua warsha

Mkuu wa utafiti na machapisho ESRF, Profesa Fortunata Makene akifungua warsha.

mwasilishaji wa mada Hosana Mpango akizungumza

Mwasilishaji wa mada Hossana Mpango akizungumza na washiriki (hawapo pichani) kwenye warsha hiyo.

washiriki wa warsha ya siku moja ya ujasirimali mdogo na wa kati katika muktadha wa fedha

Washiriki wa warsha ya siku moja ya ujasiriamali mdogo na wa kati katika muktadha wa fedha iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF).

Na Mwandishi wetu

SERIKALI imetakiwa kufanya mabadiliko makubwa ya kisera kuwezesha kukua kwa viwanda vidogo na vya kati ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MABADILIKO MAKUBWA YA KISERA KUINUA WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI‏

Mkuu wa utafiti na machapisho ESRF, Profesa Fortunata Makene akifungua warsha. Mwasilishaji wa mada Hossana Mpango akizungumza na washiriki (hawapo pichani) kwenye warsha hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

DCB YAZIDI KUPAA KWA KUINUA WAJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa bodi wa Banki ya Wananchi wa Dar es Salaam(DCB),Balozi Paul Rupia akizungumza na waandishia wa habari (hawapo pichani)  wakati wa kuwasilisha matokeo ya uendeshaji wa benki hiyo,amesema kipindi cha uendeshaji wa benki hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.


 Mwenyekiti wa bodi wa Banki ya Wananchi wa Dar es Salaam(DCB),Balozi Paul Rupia akizungumza na waandishia wa habari (hawapo pichani)  wakati wa kuwasilisha matokeo ya uendeshaji wa benki hiyo,amesema kipindi cha...

 

10 years ago

Habarileo

Membe: Nitawainua wajasiriamali wadogo

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe , ametangaza kupambana na makundi ya wala rushwa na mafisadi na kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kama mama lishe kukuza uchumi wao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi za fedha ziwezeshe wajasiriamali wadogo

DSC01368

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akikagua vyungu vilivyotengenezwa na wajasiriamali wa wilaya ya Iramba ambao wanashiriki maonesho ya 12 ya SIDO kanda ya kati yanayoendelea mjini Singida.

DSC01338

Afisa Mwanadaamizi wa Masoko wa Shirika la viwango (TBS), Gladness Kaseka (kushoto) akimpa maelezo Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, juu ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo. Dk.Kone alikuwa akikagua mabanda ya wajasiriamali na taasisi mbalimbali wanaoshiriki maonesho ya bidhaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nembo ya TBS inawanyanyua wajasiriamali wadogo nchini?

Hamasa imekuwa ikitolewa kwa walaji kutumia bidhaa ambazo zina nembo ya ubora ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kuepuka kutumia vitu vya kughushi, kama vinavyojulikana kwa wengi; feki.

 

10 years ago

Mwananchi

Saccos hazijapunguza manyanyaso ya riba kwa wajasiriamali wadogo

Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana. Ni kauli iliyokuwa na dhamira njema ya kuwakomboa Watanzania katika dimbwi la umaskini kupitia fursa mbalimbali za ajira na kujiajiri.

 

10 years ago

Dewji Blog

SIDO Iringa yawakopesha wajasiriamali wadogo zaidi ya sh milioni 229.9

IMG_3141

Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya.

Na Fredy Mgunda, Iringa

SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa wajasiriamali wa mkoa huo, katika kipindi cha July mpaka Desemba mwaka jana.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha wajasiriamali Wadogo kupata mitaji, na kuinua uchumi wao ili waondokane na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Mabadiliko makubwa

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma

Waandishi Wetu

 

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko makubwa sekta ya maji

KUANZIA Juni mwaka huu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 serikali imedhamiria kufanya mabadiliko makubwa ya kupeleka maji katika maeneo mengi vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani