Membe: Nitawainua wajasiriamali wadogo
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe , ametangaza kupambana na makundi ya wala rushwa na mafisadi na kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kama mama lishe kukuza uchumi wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog01 Sep
Taasisi za fedha ziwezeshe wajasiriamali wadogo
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akikagua vyungu vilivyotengenezwa na wajasiriamali wa wilaya ya Iramba ambao wanashiriki maonesho ya 12 ya SIDO kanda ya kati yanayoendelea mjini Singida.
Afisa Mwanadaamizi wa Masoko wa Shirika la viwango (TBS), Gladness Kaseka (kushoto) akimpa maelezo Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, juu ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo. Dk.Kone alikuwa akikagua mabanda ya wajasiriamali na taasisi mbalimbali wanaoshiriki maonesho ya bidhaa...
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Nembo ya TBS inawanyanyua wajasiriamali wadogo nchini?
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Mabadiliko makubwa ya kisera kuinua wajasiriamali wadogo na wa kati
Mkuu wa utafiti na machapisho ESRF, Profesa Fortunata Makene akifungua warsha.
Mwasilishaji wa mada Hossana Mpango akizungumza na washiriki (hawapo pichani) kwenye warsha hiyo.
Washiriki wa warsha ya siku moja ya ujasiriamali mdogo na wa kati katika muktadha wa fedha iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF).
Na Mwandishi wetu
SERIKALI imetakiwa kufanya mabadiliko makubwa ya kisera kuwezesha kukua kwa viwanda vidogo na vya kati ...
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Saccos hazijapunguza manyanyaso ya riba kwa wajasiriamali wadogo
9 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/Mkuu-wa-utafiti-na-machapisho-ESRF-profesa-Fortunata-makene-akifungua-warsha.jpg)
MABADILIKO MAKUBWA YA KISERA KUINUA WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
SIDO Iringa yawakopesha wajasiriamali wadogo zaidi ya sh milioni 229.9
Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya.
Na Fredy Mgunda, Iringa
SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa wajasiriamali wa mkoa huo, katika kipindi cha July mpaka Desemba mwaka jana.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha wajasiriamali Wadogo kupata mitaji, na kuinua uchumi wao ili waondokane na...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0AEqUsFVPPk/U2rqs0siQdI/AAAAAAAA-bE/-F-_grJSfUQ/s72-c/magori.jpg)
NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...