Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABADILIKO YA KAMATI NDOGO ZA TFF

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichofanyika Septemba 06, mwaka huu kilifanya mabadiliko madogo ya kamati zake ndogo ndogo.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Blassy Kiondo aliyekua Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Wanawake ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Ufukweni na Sakafuni (Beach Soccer and Futsal).
Amina Karuma ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake nchini (TWFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji aliteuliwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole,  akieleza yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole alitoa maelezo hayo wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Waandishi wa habari.







Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Mwananchi

Wizi Twiga Bancorp sasa waundiwa kamati ndogo

Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara imeunda kamati ndogo kufuatilia hatua mahususi zilizochukuliwa kuhusu wizi wa Sh3.3 bilioni katika benki ya Twiga Bancorp Limited.

 

11 years ago

GPL

MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mjini Dodoma mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili CCM jana.
January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.…

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA

Kamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar e salaam DRFA,imeshindwa kutekeleza agizo la lililotolewa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa chama cha soka wilaya ya temeke TEFA uliopangwa kufanyika jumapili agosti 23/2015.
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...

 

11 years ago

GPL

TFF HAITAMBUI MABADILIKO YA UONGOZI WA COASTAL UNION

Kikosi cha timu ya Coastal Union. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitambui mabadiliko ya uongozi ndani ya Coastal Union yanayodaiwa kufanywa na mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika hivi karibuni. Uongozi wa Coastal Union uliochaguliwa na mkutano wa uchaguzi wa klabu hiyo ndiyo ambao tunautambua, na tutaendelea kufanya nao kazi, na sio uongozi mwingine wowote ule. Tunapenda kuwakumbusha wanachama wetu...

 

11 years ago

Michuzi

TFF HAITAMBUI MABADILIKO YA UONGOZI COASTAL UNION

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitambui mabadiliko ya uongozi ndani ya Coastal Union yanayodaiwa kufanywa na mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika hivi karibuni.
Uongozi wa Coastal Union uliochaguliwa na mkutano wa uchaguzi wa klabu hiyo ndiyo ambao tunautambua, na tutaendelea kufanya nao kazi, na sio uongozi mwingine wowote ule.
Tunapenda kuwakumbusha wanachama wetu (ikiwemo Coastal Union) kuheshimu katiba ya TFF pamoja na katiba zao, kwani hazitambui mapinduzi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati za TFF

Kamati ya Utendaji   ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imefanya mabadiliko katika kamati zake ndogondogo na zile za kisheria za shirikisho hilo.

 

9 years ago

GPL

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MAKAO MAKUU YA CCM OFISI NDOGO LUMUMBA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Ofisi Ndogo Lumumba, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakati wa kikao hicho.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani