Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabalozi nyumba kumi wapewa somo

MATUKIO ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Mkutano wa Mabalozi wa Nyumba kumi Wilaya ya Mjini Unguja

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja kuzungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Mjini CCM katika kuimarisha Chama alipoanza ziara maalum kwa mikoa mitano ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu — Vuai Ally Vuai

33

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi

Matukio ya kutishia amani ya nchi  na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu  wakazi wa maeneo yao.

Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya  uwezeshaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu - Vuai Ally Vuai

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya  uwezeshaji wa chama hicho kwa  mabalozi (viongozi wa mashina) wa wilaya ya Lindi mjini.
Vuai...

 

10 years ago

Mwananchi

OUT wapewa somo la mapato

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahimu Msengi amewashauri viongozi wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Tawi la Mkoa wa Katavi kuwa wabunifu katika kutafuta vyanzo vya mapato badala ya kutegemea ada na ruzuku ya Serikali katika kujiendesha.

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu ukocha wapewa somo

WAHITIMU wa mafunzo ya ualimu wa mpira wa miguu wametakiwa kutenga muda wa kufundisha vijana pasipo na kutegemea kupatiwa malipo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazalishaji wa matanki wapewa somo

WAZALISHAJI  wa bidhaa za kuhifadhia maji nchini wametakiwa kupanua wigo wa soko na kuenea hadi maeneo ya vijijini ili kuwakomboa wananchi wanaotaabika kutokana na kero ya maji. Rai hiyo ilitolewa...

 

9 years ago

Habarileo

Wanasiasa walioshindwa wapewa somo

VIONGOZI wa vyama vya siasa ambao wanadhani hawakutendewa haki katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni, wametakiwa kutumia njia za busara, hekima na taratibu za kisheria za kidiplomasia katika kudai haki yao na sio kutaka kuvuruga amani na kusababisha damu kumwagika.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa siasa wapewa somo

ASKOFU Julius Bundala wa Kanisa la PHAM katika Kanda ya Kati ameshauri viongozi wa vyama vya siasa kuacha kuwashinikiza wananchi kiitikadi wakati wanapofikia muda wa kufanya uchaguzi wa viongozi wao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasajili wa kampuni wapewa somo

WADAU wanaoshughulika moja kwa moja na mchakato wa usajili wa kampuni nchini wametakiwa kufanya kazi kwa karibu zaidi, ili kuimarisha kiwango cha Tanzania kimataifa katika kujenga mazingira ya biashara. Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani