Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabalozi tisa wafika kileleni Mlima K’njaro

Mabalozi tisa kati ya 16 wa Tanzania waliopanda Mlima Kilimanjaro, wamefanikiwa kufika kileleni na kuweka historia ya kundi kubwa la mabalozi kufikia mafanikio hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtalii anasa kwenye miamba Mlima K’njaro

Mtalii mmoja raia wa Ujerumani, Jeane Traska (32) amenasa katika miamba ya kilele cha Mawenzi cha Mlima Kilimanjaro baada ya kwenda kinyemela eneo hilo ambalo haliruhusiwi kupandwa na watalii isipokuwa kwa ruhusa maalumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoa mizinga ya nyuki kuokoa Mlima K’njaro

Katika harakati za kulinda msitu wa Mlima Kilimanjaro na kuokoa theluji yake, Shirika la Kuhifadhi Mazingira (Teaca), limetoa msaada wa mizinga ya nyuki katika vijiji vinavyozunguka mlima huo ili kuwapatia wananchi ajira mbadala na kuachana na tabia ya uharibifu wa misitu.

 

10 years ago

Michuzi

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASSA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Safari ya siku tano kwa vijana hao ikahitimishwa katika kilele cha Uhuru Peak wakiongozwa na mratibu wa marafiki wa Lowassa Kanda ya Kaskazini Noel Nnko (mwenye koti jekundu)Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata matatizo. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kana ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa imefunikwa kwa theruji.
Kundi la Marafiki wa Lowasa wakiwa katika kituo cha Stella,kikiwa ni kituo cha mwisho kuelkea kilele cha Uhuru .Mandhari mbalimbali zinayoonekana wakati wa kuupanda Mlima...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WA AFRIKA KUSINI WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA WATOTO YATIMA WASHUKA,32 KATI YA 37 WAFIKA KILELE CHA UHURU

Keki maalumu iliyotengenezwa na kupambwa kwa rangi za Bendera ya Taifa la Afrika Kusini iliyokabidhiwa kwa washiriki wa zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya familia maskini. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.Muigizaji Jacky (Rajesh Kumar ) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Tanzania,Ibrahim Musa.Mkuu wa wiaya ya Siha ,Dkt Charles Mlingwa aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla fupi ya mapokezi ya ugeni huo...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA SIKU YA KWANZA

Desemba 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi ,Mh Benard Membe alikabidhi bendera kwa Balozi Adadi Rajabu kwa niaba ya Mabalozi ,ikiwa ni ishara ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro na safari hiyo ilianza kwa muda wa siku sita.
Baada ya kupumzika katika eneo la Kisambioni na kupata chakula ,safari iliendelea ya kwenda kituo cha Mandara.Kila mmoja alikuwa na Morali ya juu wakati wote wa kupanda Mlima Kilimanjaro.Baada ya kuongoza msafara wa Mabalozi kama ishara ya kuanzisha...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA, IDDA BAITWA AELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.

Mtoto Idda Baitwa akiwa na ndugu yake Leah Baitwa wakiwa wamepumzika baada ya kutembea umbari mrefu wakipanda mlima Kilimanjaro.Mtoto Idda Baitwa akijaribu kupita katika miamba kwa msaada wa fimbo wakati akipanda mlima Kilimanjaro."Hoi' ni baada ya kutembea umbali mrefu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AZINDUA SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUTANGAZA UTALII

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amewataka Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali ulimwenguni kuhakikisha kuwa wanatangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ikiwa ni njia mojawapo ya kutekeleza diplomasia ya uchumi.
Waziri Membe aliyasema hayo wakati akizindua zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro linalofanywa na mabalozi mbalimbali wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kwa lengo la kuutangaza Mlima Kilimanjaro ili uweze kuvutia watalii...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA PILI ILIVYOKUWA KWA MABALOZI WAKATI WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mabalozi ,Waandishi pamoja na waongoza watalii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembea kwa umbali mrefu kueleka Horombo.Safari ya kuelekea kituo cha Horombo ikaendelea kwa pamoja bila ya kuacahana.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani