Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabango ya Lema yaichanganya CCM

Mabango ya mgombea ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema yamezua kizazaa baada ya CCM kutaka yaondolewe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Stars yaichanganya Nigeria

IKIWA imesalia siku moja kabla ya mechi ya timu ya soka ya taifa, Taifa Stars dhidi ya Nigeria, kocha Sunday Oliseh ameonesha hofu akisema hawafahamu wapinzani wake.

 

10 years ago

TheCitizen

CCM’s Mtui vows to take on Lema

>Chama Cha Mapinduzi (CCM) cadre Deo Mtui has vowed to face off outspoken Arusha Urban Member of Parliament on a Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ticket Godbless Lema next year.

 

10 years ago

Mtanzania

Lema: CCM hawawezi kuning’oa Arusha

Godbless LemaNA JANETH MUSHI, ARUSHA

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amesema hajaona mgombea ubunge mwenye uwezo wa kupambana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kutokana na hali hiyo, amewataka wananchi wa jimbo hilo wajiandikishe kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.

Lema aliyasema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
“Hali ya usalama na kisiasa Arusha ni nzuri, CCM hawapo Arusha. Kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

JK apokewa kwa mabango Kibaigwa

Rais Jakaya Kikwete amepokewa kwa mabango na wakazi wa Kibaigwa yaliyokuwa yakielezea kero mbalimbali ikiwamo ukubwa wa ushuru wa mazao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kodi za mabango zawakera wafanyabiashara

Chama cha Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo (TCCIA), mkoani Morogoro kimesema baadhi ya sheria ndogo zinazotungwa na halmashauri, zimekuwa zikiwakandamiza wafanyabiashara na kusababisha migogoro baina yao na vyombo vingine vya Serikali.

 

9 years ago

Mtanzania

Mabango ya Lowassa yazua kizaazaa

OTH_6104AZIZA MASOUD NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

MABANGO yenye picha ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, yanayoendelea kubandikwa katika maeneo mbalimbali nchini yamezua kizaazaa, baada ya mengine kuondolewa na wale wanaofanya kazi ya kuyaweka kutishwa na hata kuwekwa ndani na Jeshi la Polisi.

Hali hiyo imejitokeza mkoani Iringa, ambako vijana wanaofanya kazi ya kuweka mabango hayo waliwekwa ndani na Jeshi la Polisi na jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana apokewa kwa mabango Nzega

MSAFARA wa Katibu Mkuu wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, juzi ulikumbana na wakati mgumu baada ya kupokelewa kwa mabango yanayolaani uamuzi wa serikali ya chama chake  kuwaondoa wachimbaji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Jonathan - mabango yang'olewe

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameamuru mabango ya uchaguzi yenye kauli mbiu ya 'Bring Back Jonathan 2015' yang'olewe .

 

11 years ago

Mwananchi

TUNAPINGA: Nyalandu apokewa kwa mabango

>Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu juzi amepokewa kwa mabango na wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha waliokuwa wanataka Serikali itekeleze ahadi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda ya kuwapa chakula bure na kupigwa marufuku kwa ujenzi wa hoteli za kitalii katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani