Stars yaichanganya Nigeria
IKIWA imesalia siku moja kabla ya mechi ya timu ya soka ya taifa, Taifa Stars dhidi ya Nigeria, kocha Sunday Oliseh ameonesha hofu akisema hawafahamu wapinzani wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Sep
Mabango ya Lema yaichanganya CCM
9 years ago
Habarileo05 Sep
Stars kufa na Nigeria
TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars leo itacheza na Nigeria kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2017.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73489000/jpg/_73489769_dangote.jpg)
Nigeria stars set to receive $1m
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Nigeria yanasa mkanda wa Stars
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73884000/jpg/_73884837_untitled-2.jpg)
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Stars ijipange dhidi ya Nigeria.
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Kocha Nigeria afurahia sare na Stars
*Akiri mambo yalikua magumu upande wao
*Mkwasa asema timu yake imekosa uzoefu tu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Sunday Oliseh, amefurahia matokeo ya suluhu katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania, akieleza wazi kuwa maji yalikua shingoni kwa upande wao.
Stars na Nigeria ambazo zimepangwa kundi G kwenye michuano hiyo, juzi zilitoshana nguvu na kuambulia pointi...
9 years ago
Habarileo04 Sep
Masembe kuisimamia Taifa Stars, Nigeria
ALIYEWAHI kuwa mwamuzi bora kwenye fainali za soka za Afrika kwa vipindi vitatu, Charles Masembe ndiye atakuwa kamishna wa mchezo wa Taifa Stars na Nigeria utakaofanyika kesho kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo01 Sep
Stars yapata makali kuiua Nigeria J’mosi
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imekamilisha kambi nchini Uturuki na inatarajia kurejea leo nchini.