Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi ya DART yaanza kazi Dar

WAKALA wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, kutakuwa na mabasi machache yatakayoanza kutoa huduma kuanzia Kimara hadi Kivukoni....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam

TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri.  Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...

 

9 years ago

Michuzi

Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, Mkuu wa Mkowa wa Dar es salaam, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi na viongozi wa UDART wakikagua mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva  Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akifurahia kutimia kwa ndoto ya kuanza kwa mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva   Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi...

 

9 years ago

Michuzi

MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMITAARIFA KWA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Mabasi ya kasi Dar mbioni kuanza kazi

MABASI maalumu kwa ajili ya kutoa huduma chini ya mradi wa mabasi yaendayo haraka yameingia nchini tayari kwa kuanza huduma.

 

9 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi ya DART kujadiliwa keshokutwa

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imeandaa mkutano wa kujadili viwango vya nauli za mabasi yatakayotoa huduma ya usafiri wa haraka jijini hapa, keshokutwa.

 

9 years ago

GPL

MABASI YA MWENDO KASI KUANZA KAZI MWEZI DESEMBA JIJINI DAR

Mabasi ya mwendokasi yatakayofanya  kazi eneo la Morogoro Road kuanzia Kimara mpaka Kivukoni jijini Dar es Salaam.
Mabasi hayo wakati yanawasili Bandarini jijini Dar. Mkurugenzi mkuu wa wa mradi wa mabasi yaendayo kasi UDA-RT,  Bw. Robert Kisena ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam  amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kufanya … ...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mabasi mradi wa DART kubeba abiria 150


NA RABIA BAKARI
MABASI yanayopendekezwa kutumika kwenye usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam,  ni yale yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 150 kwa pamoja.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu kununua magari hayo kwa mtu mmoja mmoja, na kwamba kama wana nia ya kuingia katika biashara hiyo, hawana budi kuungana au kushirikiana na wadau wengine wa usafirishaji.
Kauli hiyo ilitolewa na serikali jana, wakati wa mkutano na wadau kutoka nchi...

 

10 years ago

Michuzi

DART YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA

Mkuu wa kitengo cha Ufundi, Strabag International, Bw. Peter Simoneit (kulia) akielezea jambo kwa ujumbe wa maafisa waliotembelea kituo kilichokamilika cha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka eneo la Kimara Resort jana jijini Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi John Shauri (wa pili kulia), Meneja Usimamizi na Uendeshaji Barabara, DART, Mhandisi Mohamed Kuganda na Mhandisi wa Mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani