Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabina wa CCM auawa wananchi Mwanza

Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina ameuawa na wananchi wenye hasira baada ya kuzuka mgogoro wa ardhi baina yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KIGOGO CCM AUAWA JIJINI MWANZA

Clement Mabina enzi za uhai wake. Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa mchana huu Kisesa, Mwanza baada ya kumpiga risasi raia mmoja na yeye kuuawa katika ugomvi wa…

 

11 years ago

GPL

CLEMENT MABINA AZIKWA JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa Clement Mabina likiwa mbele ya waombolezaji. Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Mabina kwenye uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.…

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa wa ujambazi na mauaji auawa na wananchi

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa
Mkazi wa kitongoji cha Nyahongo kilichoko kijiji cha Nyarwana wilayani Tarime mkoani Mara aliyekuwa akisakwa na polisi kwa tuhuma za ujambazi na mauaji ameuawa na wananchi katika shambulizi ambalo lililojeruhi wanakijiji watatu.

Wambura Kihongwe (40) ameuawa na wananchi kwa kukatwa mapanga kichwani na sehemu mbalimbali za mwili huku naye akiwajeruhi watu watatu waliojaribu kumkamata ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Kamanda wa Polisi Tarime...

 

10 years ago

GPL

POLISI AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA MOROGORO

...Askari alieuwawa na wananchi wenye hasira kali akiwa amelala chini ....mwananchi akishuhudia polisi alieuwawa na wananchi ASKARI mmoja wa jeshi la polisi ambao hutumia pikipiki kufanya doria, aliyejulikana kwa jina la Ramadhani,  ameuawa mchana huu na wananchi wenye hasira mjini Morogoro kwa kutuhumiwa kusababisha ajali ya dereva wa bodaboda ambaye alipamia lori. Tukio hilo linawahusisha askari wawili wa kikosi cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AUAWA NA WANANCHI BAADA YA KUMUUA MKEWE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.      Watu wawili wameuawa Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea mnamo tarehe 20/09/2014 majira ya saa 23:30hrs katika Kijiji cha Mzogole Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la MWAJUMA D/O CHOMOLA mwenye umri wa miaka 48, Mgogo mkazi wa Mzogole aliuawa kwa kupigwa...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ndio chama kinachopendwa zaidi na wananchi Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa

22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka 2012.
Chadema ni chama cha pili kinachopendwa kushinda vyama vingine vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM auawa

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani