Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mabingwa watetezi spain wafungashiwa virago, Cameroon na Australia nao kwaheri

Wachezaji wa Spain wakitoka nje ya uwanja baada ya kuvuliwa ubingwa wa dunia na kufungashiwa virago na Chile (chini) Na Sultani Kipingo Usiku wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake huko Brazil. Utawala wa Wafalme wa Kombe la Dunia, Spain, uliota mbawa. Mchezaji wa Australia alifunga goli la mwaka, na Mfalme Willem-Alexander na Malkia Maxima wa Uholanzi walisisimkwa mno kuona nchi wanayoongoza ikipiga hatua mbele kuelekea Ubingwa kiasi hata wakapozi picha za selfie na Arjen  Robben, Robin...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mabingwa watetezi kombe la Dunia Spain Mbendembende mbele ya Holland, yachapwa 5-1


Na Sultani Kipingo 
wa Globu ya Jamii
Siku ya tatu tu tokea michuano ya kombe la Dunia ianze nchini Brazil, tayari mabingwa watetezi Spain wanakuta kombe hilo linateleza mikononi mwao.  Japokuwa miaka minne iliyopita walipoteza mchezo wao kwa kwanza dhidi ya Switzerland huko Afrika ya Kusini, lakini hiyo haiwezi kulinganishwa na kilichotokea uwanja wa Fonte Nova katika mji wa Salvador ulio Kaskazini-Mashariki ya Brazil usiku wa kuamkia leo baada ya kuchwapwa bao 5-1 na Holland.

Hilo ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Manchester City: Uefa yawapiga marufuku mabingwa watetezi wa ligi ya England

Manchester City imepigwa marufuku kushiriki katika ligi ya mabingwa kwa misimu miwili na Uefa

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia ndio mabingwa wa Kriketi

Australia iliishinda nguvu New Zealand na hivyobasi kuibuka mshindi wa kombe la dunia la mchezo wa Kriketi kwa mara ya tano

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UB yawaasa watetezi haki za binadamu

CHUO Kikuu cha Bagamoyo (UB), kimewataka washiriki 10 wa mafunzo ya utetezi wa Haki za Binadamu na Utawala wa Sheria kutoka nchi za Afrika Mashariki ( EAC), kuhakikisha wanashiriki mafunzo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watetezi wa chama tawala Burundi wauawa

Polisi nchini Burundi wanasema kuwa wanaharakati kutoka kwa chama tawala CNDD-FDD wameuawa kwa kupigwa risasi katika mji ulio mashariki mwa nchi wa Gisuru karibu na mpaka na Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi kushirikiana na watetezi wa haki za binadamu

JESHI la Polisi nchini limeahidi kufanya kazi kwa ukaribu na watetezi wa haki za binadamu ili waweze kutekeleza majukumu yao katika hali ya usalama. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani