Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabondia 3 wapata medali

MA B O N D I A wa Tanzania wamejihakikishia medali katika mashindano ya majiji ya Afrika Mashariki yaliyotarajia kumalizika jana Mombasa nchini Kenya baada ya watatu kati ya wanne kutinga fainali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Olimpiki Maalumu wapata medali

WANARIADHA watatu wa mbio za mita 400 wa timu ya Olimpiki Maalum inayoshiriki mashindano ya dunia yanayofanyika Marekani wamepata medali.

 

11 years ago

Mwananchi

Australia wajipanga kuzoa medali

Australia wanatarajia kulinda medali zao tatu za dhahabu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola wakati timu yao ya kuogelea ya wanaume ikianza jana kutetea katika mbio za mita 400 za mitindo huru.

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana watwaa medali Botswana

Timu ya soka ya vijana chini ya miaka 15 ya Tanzania imetwaa medali ya fedha kwenye fainali ya michezo ya Afrika ya vijana (AYG) iliyofikia tamati jana jijini Gaborone, Botswana.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Medali ya Madola imeachwa Tanzania’

Wakati msafara wa Tanzania ukiwasili kwenye kijiji cha michezo tayari kwa michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kocha mkuu wa timu ya taifa ya judo, Zaid Hamis ametoa kali baada ya kueleza kuwa medali ya timu yake imebaki Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Peaty atwaa medali ya pili ya dhahabu

Muingereza Adam Peaty ametwaa medali ya pili ya dhahabu katika michezo ya kuogelea ya dunia

 

10 years ago

Habarileo

Medali zazidi kumiminika Olimpiki Maalumu

MAMBO yameendelea kuwa mazuri kwa wanariadha wa Tanzania wanaoshiriki michezo ya dunia ya Olimpiki Maalumu Marekani, baada ya kupata medali nyingine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Medali zaanza kunyakuliwa Olimpiki Sochi

Wanariadha wa Marekani na Norway wamekuwa wa kwanza kunyakua medali za dhahabu kwa upande wa wanaume na wanawake

 

11 years ago

Mwananchi

Hatuoni maandalizi ya medali michezo ya Madola

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow huko Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.

 

10 years ago

BBCSwahili

Adam Peaty atwaa medali ya dhahabu

Mwingereza Adam Peaty ametwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka bingwa katika michuano ya dunia ya mchezo wa kuogelea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani