Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana watwaa medali Botswana

Timu ya soka ya vijana chini ya miaka 15 ya Tanzania imetwaa medali ya fedha kwenye fainali ya michezo ya Afrika ya vijana (AYG) iliyofikia tamati jana jijini Gaborone, Botswana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania watwaa Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Tanzania kwa watoto wa mitaani imenyakua Kombe la Dunia kwa kuichapa Burundi 3-1

 

10 years ago

GPL

MOURINHO, HAZARD WATWAA TUZO ENGLAND

Jose Mourinho. KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England kwa msimu huu wa 2014/2015 huku mchezaji wake Eden Hazard akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu. Eden Hazard. Hazard amechukua tuzo hiyo baada ya kuisaidia timu yake kutwaa taji la Ligi Kuu ya England huku akiifungia mabao 14. Hazard alikuwa akiwania tuzo hiyo pamoja na wachezaji wengine saba ambao ni: John Terry, Cesc Fabregas,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mara watwaa ubingwa wa kupiga makasia

Klabu ya wanaume ya wapiga makasia ya JJ Bunda kutoka Nyarusurya mkoani Mara imeibuka bingwa katika fainali za mkoa za mashindano ya mbio za mitumbwi zinazodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania.

 

9 years ago

Mtanzania

Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan

BarcelonaYOKOHAMA, JAPAN

KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.

Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.

Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...

 

11 years ago

GPL

WANANE WATWAA ZAWADI ZA AWALI ZA BRAZUKA

Mshindi wa kwanza wa Brazuka, Eric Vemberini, aliyejishindia simu, jezi ya Neymar wa Brazil na pesa taslimu shilingi 50,000 akitokea Dar es Salaam.
Mshindi wa pili, Rose Kanyaso, wa Dar es Salaam  akipokea zawadi yake ya jezi ya Ivory Coast ya Yaya Toure na pesa taslimu elfu 50.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi wa Tuareg watwaa mji muhimu Mali

Baada ya mapigano makali baina yao na serikali, waasi wa Tuareg wameudhibiti mji wa kaskazini mwa Mali wa Kidal

 

9 years ago

BBCSwahili

Al-Shabab watwaa mji kusini mwa Somalia

Al-Shabab wanasema wameutwaa mjini wa Janale kusini mwa Somalia ambako wanajeshi wa Muungano wa Afrika waliuawa mapema mwezi huu.

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi Pwani watwaa tuzo ya usalama barabarani

CHAMA cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Pwani (CRPC), kimepewa tuzo na Kamati ya Usalama Barabarani kwa kutoa mchango wake wa kupunguza ajali kwenye mkoa huo.

 

10 years ago

GPL

BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Barcelona wakisherehekea ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Juventus. KLABU ya Barcelona imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Juventus mabao 3-1 katika fainali iliyopigwa nchini Ujerumani usiku wa kuamkia leo. Mabao ya mabingwa hao yaliwekwa kimiani na Ivan Rakitic, Luis Suarez na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani