WANANE WATWAA ZAWADI ZA AWALI ZA BRAZUKA
Mshindi wa kwanza wa Brazuka, Eric Vemberini, aliyejishindia simu, jezi ya Neymar wa Brazil na pesa taslimu shilingi 50,000 akitokea Dar es Salaam. Mshindi wa pili, Rose Kanyaso, wa Dar es Salaam akipokea zawadi yake ya jezi ya Ivory Coast ya Yaya Toure na pesa taslimu elfu 50.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Wanane washinda kampeni ya Brazuka
WASHINDI nane walioshiriki kutuma ujumbe katika shindano la Brazuka, wamejinyakulia zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu na ‘smartphone’. Akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa zawadi kwa washindi hao, Mratibu wa...
9 years ago
Michuziwatoto wa shule ya awali ya Genesisi wapata mafunzo ya awali ya kuzima moto
11 years ago
BBCSwahili14 May
Brazuka:Mpira utakaotumika Brazil
11 years ago
CloudsFM24 Jun
BAADA YA KUIBAMIZA CAMEROON, BRAZIL KUCHUANA NA CHILE JUMAMOSI #Brazuka
Baada ya jana kuibamiza timu ya Cameroon kwenye michuano ya kombe la dunia, timu ya Brazili ili kwenda mbele zaidi katika hatua ya robo fainali kunategemea na mechi yao dhidi ya Chile, mechi hiyo itachezewa jijini Belo Horizonte siku ya Jumamosi wakiwa na imani mpya ya kunyakua taji hilo.
11 years ago
CloudsFM23 Jun
#BRAZUKA Mshindi wa tiketi ya kwenda Brazil kupitia Cloudsfm Radio
11 years ago
CloudsFM25 Jun
KOCHA WA ITALIA AJIUZULU DAABA YA TIMU YAKE KUTUPWA NJE BRAZIL #Brazuka
uda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu...
11 years ago
CloudsFM04 Jul
WACHEZAJI WA UJERUMANI WAUGUA MAFUA ZIKISALIA SAA CHACHE KUINGIA DIMBANI #Brazuka
Wachezaji saba wa Ujerumani, wanaugua mafua,saa 24 kabla ya mechi yao ya robo fainali dhidi ya Ufaransa. Kocha Joachim Low amesema kuwa wengi wanaumwa na koo ingawa hakutaja majina ya wachezaji wagonjwa."Ni mapema sana kufanya uamuzi wowote kuhusu orodha ya wachezaji watakaoingia uwanjani, '' alisema Low Mats Hummels na Christoph Kramer waliugua mapema wiki hii huku Mat akikosa mechi ya muondoano dhidi ya Algeria Jumatatu.
Low anaamini kuwa mazingira ya Brazil na safari za hapa na pale...
10 years ago
VijimamboDIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.
na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Tanzania watwaa Kombe la Dunia