Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WACHEZAJI WA UJERUMANI WAUGUA MAFUA ZIKISALIA SAA CHACHE KUINGIA DIMBANI #Brazuka

Wachezaji saba wa Ujerumani, wanaugua mafua,saa 24 kabla ya mechi yao ya robo fainali dhidi ya Ufaransa. Kocha Joachim Low amesema kuwa wengi wanaumwa na koo ingawa hakutaja majina ya wachezaji wagonjwa."Ni mapema sana kufanya uamuzi wowote kuhusu orodha ya wachezaji watakaoingia uwanjani, '' alisema Low Mats Hummels na Christoph Kramer waliugua mapema wiki hii huku Mat akikosa mechi ya muondoano dhidi ya Algeria Jumatatu.
Low anaamini kuwa mazingira ya Brazil na safari za hapa na pale...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa Ujerumani waugua mafua

Wachezaji 7 wa Ujerumani, wanaugua mafua , saa 24 kabla ya mechi yao ya robo fainali dhidi ya Ufaransa.

 

9 years ago

Mwananchi

Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa

Bibi harusi amezua gumzo mjini hapa baada ya kutoweka saa tatu kabla ya kufunga ndoa ambayo sherehe yake iligharimu Sh7 milioni.

 

9 years ago

MillardAyo

Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!!

Najua wakristo wengi duniani wanahesabu saa chache kuifikia December 25, siku ambayo inasherehekewa sikukuu ya Christmas kila mwaka… kama na wewe umejiandaa vizuri na sherehe hiyo basi nikutakie heri mtu wangu, lakini stori ina kichwa cha habari tofauti kutoka Somalia. Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za christmas kwa siku ya kesho, moja ya sababu […]

The post Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!! appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi..

Tukiwa tumebakiza masaa machache kabla ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kuelekea mkesha wa mwaka mpya. Katika taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa na msemaji Advera Bulimba imesema wamejipanga vyema kukabiliana na vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza na kuimarisha ulinzi katika fukwe za bahari na maeneo mbalimbali ya starehe. Taarifa hiyo […]

The post Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi.. appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …

Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini […]

The post FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … appeared first on...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachezaji 2 wa Ujerumani katika ajali

Wachezaji 2 wa klabu ya shalke 04 wamehusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo, wachezaji wateta saa moja

KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alifanya kikao na wachezaji wake kwa zaidi ya saa moja na nusu wakiweka mikakati mbalimbali ya kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi...

 

11 years ago

Michuzi

brazil yaipiga columbia 2-1 kuingia nusu fainali, kupambana na Ujerumani Jumanne

Ngoma imeisha katika uwanja wa Fortazleza na wenyeji Brazil wamepita robo fainali tayari kupambana na Ujerumani siku ya Jumanne. Thiago Silva alifungua njia kwa bao la kwanza nadni ya dakika 10 za mwanzo kabla ya David Luiz kupiga mpira mkali wa adhabu kuiweka Brazil katika mkao wa kula. Mshambuliaji hatari wa Columbia James Rodriguez aliweka bao la kupunguza maumivu kwa njia ya penati baada ya kipa wa Brazil Julio Cezar kumfanyia madhambi Bacca wa Columbia ndani ya boxi.


Hivyo ngoma imeisha...

 

10 years ago

Michuzi

ANGALIA MAPOKEZI YA RAIS WA UJERUMANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LIVE KUANZIA SAA TATU UNUSU ASUBUHI HII

MAPOKEZI RASMI YA RAIS WA UJERUMANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM KUONESHWA LIVE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI RASMI YA IKULU KUANZIA SAA TATU NA NUSU ASUBUHI HII.
KUANGALIA MAPOKEZI HAYO NA MAMBO MENGINEBOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani