Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!!
Najua wakristo wengi duniani wanahesabu saa chache kuifikia December 25, siku ambayo inasherehekewa sikukuu ya Christmas kila mwaka… kama na wewe umejiandaa vizuri na sherehe hiyo basi nikutakie heri mtu wangu, lakini stori ina kichwa cha habari tofauti kutoka Somalia. Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za christmas kwa siku ya kesho, moja ya sababu […]
The post Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!! appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Dec
HABARI NJEMA, WATANZANIA TUSICHOKE KUPIGA KURA ZIMEBAKI SIKU CHACHE #Happiness4MissWorld
![10614252_800789863300579_6044778737800766960_n](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/10614252_800789863300579_6044778737800766960_n.jpg)
![10846445_10152970401239974_5092824672817370692_n](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/10846445_10152970401239974_5092824672817370692_n.png)
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa
11 years ago
CloudsFM04 Jul
WACHEZAJI WA UJERUMANI WAUGUA MAFUA ZIKISALIA SAA CHACHE KUINGIA DIMBANI #Brazuka
Wachezaji saba wa Ujerumani, wanaugua mafua,saa 24 kabla ya mechi yao ya robo fainali dhidi ya Ufaransa. Kocha Joachim Low amesema kuwa wengi wanaumwa na koo ingawa hakutaja majina ya wachezaji wagonjwa."Ni mapema sana kufanya uamuzi wowote kuhusu orodha ya wachezaji watakaoingia uwanjani, '' alisema Low Mats Hummels na Christoph Kramer waliugua mapema wiki hii huku Mat akikosa mechi ya muondoano dhidi ya Algeria Jumatatu.
Low anaamini kuwa mazingira ya Brazil na safari za hapa na pale...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)
Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas, kwa kutembelea wodi ya watoto ya hospitali ya West London. Mastaa hao wa Chelsea ambao timu yao ipo nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu […]
The post Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi..
Tukiwa tumebakiza masaa machache kabla ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kuelekea mkesha wa mwaka mpya. Katika taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa na msemaji Advera Bulimba imesema wamejipanga vyema kukabiliana na vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza na kuimarisha ulinzi katika fukwe za bahari na maeneo mbalimbali ya starehe. Taarifa hiyo […]
The post Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi.. appeared first on...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …
Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini […]
The post FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … appeared first on...
10 years ago
Bongo511 Dec
Diva kusherehekea Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video)
Kuna stori huwa zinagonga vichwa vya habari na kutawala masikioni mwa wengi kwa sababu tu ya aina ya tukio lenyewe… pata picha ndio jana hiyo Christmas unamchinja kuku wa kitoweo alafu bado anatembea kama hajachinjwa hivi !! Hii ishu iliwahi kutawala sana mitandaoni huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina, kuku kachinjwa kwa ajili ya […]
The post Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.