Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)

Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas, kwa kutembelea wodi ya watoto ya hospitali ya West London. Mastaa hao wa Chelsea ambao timu yao ipo nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu […]

The post Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz)

Leo Dec 25 ni siku ambayo Wakristo wa mataifa mbalimbali huisherehekea kama siku ya Christmas, Tanzania pia ikiwa ni miongoni mwa nchi hizo. Ingawa tumezoea kuona shamrashamra nyingi katika siku kama hii kwa maeneo mengi, hapa ripota wa millardayo.com anakusogezea picha kadhaa kutokea Mkoani Tanga hali inavyoonekana kwa siku hii ya leo. Unataka kutumiwa MSG za […]

The post Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz) appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Diva kusherehekea Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima

Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness aka Diva, atasherehekea sikukuu ya Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Kigamboni Orphanage. Msaada huo utatolewa chini ya taasisi yake ya Diva Giving For Charity. “Together we rise, ni new Project iliokaa chini kwa muda mrefu sana kukusanya michango ya hapa na pale ili kuwasaidia […]

 

9 years ago

MillardAyo

Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya …

Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii Kenya wakati ambao vilabu vya Chelsea na Man United vikitajwa kwa […]

The post Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya … appeared...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mh Magufuli akumbana na wakati mgumu kwa wafuasi wa Mh Luwassa

The post Mh Magufuli akumbana na wakati mgumu kwa wafuasi wa Mh Luwassa appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

MillardAyo

Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!!

Najua wakristo wengi duniani wanahesabu saa chache kuifikia December 25, siku ambayo inasherehekewa sikukuu ya Christmas kila mwaka… kama na wewe umejiandaa vizuri na sherehe hiyo basi nikutakie heri mtu wangu, lakini stori ina kichwa cha habari tofauti kutoka Somalia. Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za christmas kwa siku ya kesho, moja ya sababu […]

The post Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!! appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtihani mgumu kwa Ukawa .... isome makala hii kwa makini na mwishowe utoe maoni yako

Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema madai ya wadau ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi, mgombea binafsi na haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, yatafanyiwa kazi iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa kwenye Kura ya Maoni Aprili 30.Jambo hilo ni mtihani mgumu kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao umetangaza kususia kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa huku ikitaka mambo hayo matatu yafanyiwe kazi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka...

 

9 years ago

MillardAyo

Umesheherekea wapi Merry Christmas? Beach za Dar ilikuwa ni noma… (Pichaz)

Siku za weekend ni kawaida watu kushinda nyumbani na familia au kuwa sehemu wakibadilishana mawazo, wengine hutumia muda huo kutembelea ndugu na jamaa.. lakini inapofika Sikukuu huwa tofauti, wapo wanaopendelea kwenda sehemu za kuenjoy zaidi kwenye ufukwe wa bahari. Sasa hapa nimekusogezea picha 20 za watu mbalimbali wakisheherekea leo Dec 25 sikukuu ya Merry Christmas […]

The post Umesheherekea wapi Merry Christmas? Beach za Dar ilikuwa ni noma… (Pichaz) appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Nick Cannon na Mariah Carey kula Christmas pamoja licha ya kuachana

Nick Cannon na mke wake wa zamani Mariah Carey watakuwa pamoja kwenye sikukuu ya Christmas. Wawiili hao waliofungua ndoa 2008, walitangaza kutengena mapema mwaka huu, lakini Nick amethibitisha kuwa hilo haliwezi kumzuia kutumia muda na Mariah kwenye sikukuu hiyo pamoja na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan. Mapema wiki hii pia, Nick alikanusha kuwahi kuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani