Mtihani mgumu kwa Ukawa .... isome makala hii kwa makini na mwishowe utoe maoni yako
![](http://3.bp.blogspot.com/-OT3wME3oOKQ/VRGCSog4UMI/AAAAAAAAAtc/QIzsmi1VC2A/s72-c/ukawa%2Bpicha.jpg)
Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema madai ya wadau ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi, mgombea binafsi na haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, yatafanyiwa kazi iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa kwenye Kura ya Maoni Aprili 30.Jambo hilo ni mtihani mgumu kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao umetangaza kususia kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa huku ikitaka mambo hayo matatu yafanyiwe kazi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Mtihani mgumu Ukawa
9 years ago
StarTV21 Aug
Mtihani mgumu waikaili Ukawa.
10 years ago
Mtanzania01 Sep
JK, Ukawa wapeana mtihani mgumu
![Kikwete na Ukawa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/ukawa-na-kikwete.jpg)
Kikwete na Ukawa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MAZUNGUMZO ya kusaka mwafaka kati ya Rais, Jakaya Kikwete na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) yamemalizika huku kila upande ukitoa masharti ya kumaliza mgogoro uliopo kuhusu kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba.
Mkutano huo uliofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, uliratibiwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), huku ukiwa umehusisha viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dI8dRi3oSbQ/VUcHkXf_ccI/AAAAAAAHVDg/g-SwY-wiAWk/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: UWEZEKANO WA KUMSHTAKI KWA JINAI ALIYEVAMIA ARDHI YAKO
![](http://1.bp.blogspot.com/-dI8dRi3oSbQ/VUcHkXf_ccI/AAAAAAAHVDg/g-SwY-wiAWk/s1600/law_5.jpg)
Katika migogoro ya ardhi yapo mambo mengi ambayo hujitokeza. Yumkini hii yote huwa ni katika kusaka haki. Liko jambo moja ambalo ni muhimu watu kulijua hasa wale ambao tayari wamejikuta katika migogoro ya ardhi. Mara nyingi imekuwa ikitokea pale ambapo mtu fulani ana mgogoro wa ardhi na mtu mwingine kumwendea polisi na kumshitaki kwa jinai ya kuvamia ardhi yake( criminal trespass). Ni kweli jambo hili lipo...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Utata Kura ya Maoni uangaliwe kwa makini
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Taitizo la Android: Kwa nini picha hii ni hatari kwa simu yako?
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)
Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas, kwa kutembelea wodi ya watoto ya hospitali ya West London. Mastaa hao wa Chelsea ambao timu yao ipo nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu […]
The post Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz) appeared first on...
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UtVXqW2T-Ok/VWf05psPBoI/AAAAAAAHahw/NVBQOh8C5ek/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA:USIKAMATWE NA ASKARI KWA AMRI YA MAHAKAMA BILA KUONESHWA HATI HII.
![](http://1.bp.blogspot.com/-UtVXqW2T-Ok/VWf05psPBoI/AAAAAAAHahw/NVBQOh8C5ek/s320/images.jpg)
Kifungu cha 112 ( 1 ) na ( 2 ) cha Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai kinaeleza kwa urefu kuhusu hati ya kumkamata raia ( warrant of arrest ) ambayo hutolewa na mahakama. Kifungu hiki kimeeleza namna hati hii inavyopaswa kuwa na maudhui yanayopaswa kuwa ndani ya hati hiyo.
Lengo ni kumfanya raia ajue anakamatwa na nani , kwanini na anapelekwa wapi. Ni hati ambayo imebeba taarifa zinazolenga kusimamia na kulinda haki za ...