Mtihani mgumu Ukawa
>Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema madai ya wadau ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi, mgombea binafsi na haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, yatafanyiwa kazi iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa kwenye Kura ya Maoni Aprili 30.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania01 Sep
JK, Ukawa wapeana mtihani mgumu
![Kikwete na Ukawa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/ukawa-na-kikwete.jpg)
Kikwete na Ukawa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MAZUNGUMZO ya kusaka mwafaka kati ya Rais, Jakaya Kikwete na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) yamemalizika huku kila upande ukitoa masharti ya kumaliza mgogoro uliopo kuhusu kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba.
Mkutano huo uliofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, uliratibiwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), huku ukiwa umehusisha viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho...
9 years ago
StarTV21 Aug
Mtihani mgumu waikaili Ukawa.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-OT3wME3oOKQ/VRGCSog4UMI/AAAAAAAAAtc/QIzsmi1VC2A/s72-c/ukawa%2Bpicha.jpg)
Mtihani mgumu kwa Ukawa .... isome makala hii kwa makini na mwishowe utoe maoni yako
![](http://3.bp.blogspot.com/-OT3wME3oOKQ/VRGCSog4UMI/AAAAAAAAAtc/QIzsmi1VC2A/s640/ukawa%2Bpicha.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Babu Tale: Ni mtihani mgumu kumuongoza msanii maarufu
MENEJA wa kundi la muziki wa kizazi kipya nchini, Tip Top Connection, Babu Tale, amesema sio kazi rahisi kumsimamia msanii mkubwa ni lazima uumize kichwa na kuwa tayari kwa lolote....
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu
10 years ago
Mtanzania10 Feb
Urais CCM ni mgumu
SHABANI MATUTU NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
MCHAKATO wa kumpata mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) umekuwa mgumu kutokana na chama hicho kutangaza hatua sita muhimu za kumpata kada atakayepeperusha bendera yao katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
Inaelezwa utaratibu huo huenda ukawa kizingiti kwa baadhi ya wagombea kujikuta wakitupwa nje hatua za awali za mchujo kwa majina yao kushindwa kufika katika vikao vya uamuzi kwa mujibu wa kanuni za chama hicho.
Hatua...
10 years ago
Mtanzania22 May
Uamuzi mgumu CCM
Na Khamis Mkotya, Dodoma
NI uamuzi mgumu, ndivyo unavyoweza kusema wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inapoanza vikao vya juu mjini Dodoma leo.
Vikao hivyo ni mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Kikao cha kamati hiyo kinatarajiwa kuanza saa nne asubuhi, ambapo wajumbe wa kikao hicho watajadili masuala mbalimbali, ikiwamo hatima ya makada sita wa chama hicho waliofungiwa.
Hata hivyo, taarifa ambazo...
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Mkwasa apata wakati mgumu
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Zitto: Nitachukua uamuzi mgumu
Na Freddy Azzah, Kigoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametua jimboni kwake na kuomba kuungwa mkono kwa hatua yoyote atakayochukua kuanzia sasa.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipokuwa katika kikao cha ndani na viongozi wa jimbo hilo.
Ingawa hakuweka wazi ni hatua gani atakayochukua, lakini wachambuzi wa siasa wanasema pengine atachukua uamuzi mgumu kutokana na matukio kadhaa yaliyomtokea katika maisha yake ya kisiasa.
Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na takriban watu 250,...