Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK, Ukawa wapeana mtihani mgumu

Kikwete na Ukawa

Kikwete na Ukawa

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MAZUNGUMZO  ya kusaka mwafaka kati ya Rais, Jakaya Kikwete na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) yamemalizika huku kila upande ukitoa masharti ya kumaliza mgogoro uliopo kuhusu kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba.

Mkutano huo uliofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, uliratibiwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), huku ukiwa umehusisha viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtihani mgumu Ukawa

>Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema madai ya wadau ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi, mgombea binafsi na haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, yatafanyiwa kazi iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa kwenye Kura ya Maoni Aprili 30.

 

9 years ago

StarTV

Mtihani mgumu waikaili Ukawa.

Baada ya uamuzi wa serikali kuzuia Umoja  wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuutumia  Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake, hatua hiyo imeupa mtihani mgumu umoja huo. Viongozi wa Ukawa wamesema hatua hiyo imewaumiza vichwa kuhusu namna ya kupata eneo jingine lenye nafasi kubwa la kuwatosha kutokana na  idadi kubwa ya wafuasi wao. Juzi serikali ilizuia Ukawa kutumia uwanja huo kwa madai kwamba hauruhusiwi kutumika kwa shughuli za mikutano ya kisiasa. Serikali ilitangaza hatua hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtihani mgumu kwa Ukawa .... isome makala hii kwa makini na mwishowe utoe maoni yako

Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema madai ya wadau ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi, mgombea binafsi na haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, yatafanyiwa kazi iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa kwenye Kura ya Maoni Aprili 30.Jambo hilo ni mtihani mgumu kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao umetangaza kususia kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa huku ikitaka mambo hayo matatu yafanyiwe kazi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Babu Tale: Ni mtihani mgumu kumuongoza msanii maarufu

MENEJA wa kundi la muziki wa kizazi kipya nchini, Tip Top Connection, Babu Tale, amesema sio kazi rahisi kumsimamia msanii mkubwa ni lazima uumize kichwa na kuwa tayari kwa lolote....

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza kuhama CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wamesema pande hizo mbili zimefanya uamuzi mgumu ambao utanufaisha kila upande.

 

10 years ago

CloudsFM

H BABA NA FLORA MVUNGI: WAPEANA TUZO

Msanii Hamis Baba ‘’H.Baba’’ na mkewe flora mvungi jumamosi iliyopita walipeana tuzo zilizojulikana kama Tuzo Za Familia tukio lililofanyika kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View Hotel. Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali kama rais wa shirikisho la wasanii Tanzania, Simon Mwakifamba na watu wengine.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF, klabu wapeana muda kujadili makato

 Suala la makato ya asilimia tano kwa klabu za Ligi Kuu limechukua sura mpya baada ya kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu kuomba muda zaidi kulitafakari.

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA DALADALA ‘WACHOMEKEANA’, WAPEANA KIBANO

Madereva na wananchi wakitoa maelezo kwa askari wa usalama barabarani (mwenye nguo nyeupe). Sehemu ya kioo cha upande wa kulia cha daladala kilichogongwa.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: H.Baba na mkewe Flora Mvungi wapeana tuzo, sherehe zafana

Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi Jumamosi ndani ya Giraffe Ocean View Hotel wamefunga ukame wa tuzo kwa kupeana wenyewe kwa wenyewe baada ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na filamu. Rais wa shirikisho la wasanii Ado Novemba akimkabidhi tuzo ya msanii bora wa kutumbuiza H.Baba Tuzo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani