Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WA DALADALA ‘WACHOMEKEANA’, WAPEANA KIBANO

Madereva na wananchi wakitoa maelezo kwa askari wa usalama barabarani (mwenye nguo nyeupe). Sehemu ya kioo cha upande wa kulia cha daladala kilichogongwa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanachovuna madereva, makondakta wa daladala

Wakati jana Taifa lilishuhudia mgomo wa madereva wanaodai mambo mbalimbali ikiwamo mikataba ya ajira na mshahara wa Sh250,000 kwa mwezi na kupinga kwenda kwa mara nyingine katika shule ya udereva, imebainika kuwa wengi wao hasa wa daladala, huingiza kati ya Sh900,000 hadi Sh1,050,000 kwa mwezi.

 

11 years ago

Mwananchi

Madereva wa daladala za Tegeta wagoma

Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo, Mwenge na Tegeta jana waligoma siku nzima wakitaka kufahamu stendi mbadala baada ya kufungwa ile ya Ubungo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea.

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA DALADALA MISUNGWI WAZIBA BARABARA

Watu wanaodhaniwa kuwa ni madereva wakiwa wameziba barabara ya Mwanza-Dar. Madereva hao wakiendelea na mgomo.…

 

10 years ago

Habarileo

Madereva daladala, abiria Dar walalamika

BAADHI ya abiria na madereva wa daladala katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam wamelalamikia kutowekwa vibao vya kuelekeza kufungwa kwa vituo vya mabasi vilivyokuwa vikitumika eneo la Ubungo baada ya kuhamishiwa kituo kipya cha mabasi cha Simu 2000.

 

11 years ago

GPL

MADEREVA DALADALA WAGOMA KWENDA KITUO KIPYA

MADEREVA wa daladala wanaoegesha magari yao eneo la Ubungo, Darajani jirani na njia panda ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kwenda kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Madereva hao wameamua kuwashambulia wenzao walioonekana kutii amri kwa kuwavunjia vioo vya magari yao jambo lililopelekea polisi kuingilia kati kuwatuliza. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde! ...

 

9 years ago

Mwananchi

Madereva wa Daladala Moro wagoma kwa saa saba

Madereva wa daladala Manispaa ya Morogoro leo waligoma kwa saa saba kutoa huduma za usafirishaji abiria wakishinikiza kutatuliwa kwa changamoto zinazowakabili  sambamba na kuachiwa kwa wenzao wawili waliokamatwa kwa takribani siku sita zilizopita na kutopewa dhamana.

 

11 years ago

GPL

KIMENUKA MORO, MADEREVA DALADALA WAGOMA KUINGIA BARABARANI

MADEREVA wa daladala Manispaa ya Morogoro wamegoma asubuhi hii wakidai kukamatwa hovyo na matrafiki na hakuna daladala linalofanya safari yoyote katika manispaa hiyo. Madereva hao wanadai wameamua kugoma kutokana na kamatakamata ya askari wa usalama barabarani, ambapo wamesema daladala moja kwa siku linaweza kukamatwa hadi mara nne na wakihoji wanaambiwa ni makosa tofauti. Waliongeza kuwa wamepeleka malalamiko yao ngazi...

 

10 years ago

Vijimambo

MADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO

 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.

 Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani