Madereva daladala, abiria Dar walalamika
BAADHI ya abiria na madereva wa daladala katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam wamelalamikia kutowekwa vibao vya kuelekeza kufungwa kwa vituo vya mabasi vilivyokuwa vikitumika eneo la Ubungo baada ya kuhamishiwa kituo kipya cha mabasi cha Simu 2000.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KISA UCHAGUZI...MADEREVA DALADALA DAR WALIA KUKOSA ABIRIA
Barabara ya Kawawa maeneo ya Kinondoni-Biafra hali ilivyoonekana, watu wachache barabarani. Watu wakionekana wachache tofauti na siku za kawaida. Hapa ni maeneo ya Kinondoni-Studio. Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni-Mwembechai ikionekana kutokuwa na watu au…
11 years ago
Michuzi
MGOMO WA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA DAR KUGOMA KUPELEKA ABIRIA MWENGE KUTOKA MAKUMBUSHO




11 years ago
Michuzimadereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo
10 years ago
GPL
AJALI YA DALADALA YAUA ABIRIA MKWAJUNI, DAR
HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya daladala mbili aina ya Toyota Coaster kupata ajali eneo la Mkwajuni-Darajani jijini Dar es Salaam. Daladala hizo zinafanya safari yake kati ya Kawe - Kariakoo na nyingine kati ya Temeke - Makumbusho. Habari zaidi pamoja na picha za ajali hiyo zitawajia hivi punde. ...
10 years ago
VijimamboMADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO
11 years ago
GPL
KITUO KIPYA KILICHOSUSIWA NA MADEREVA DALADALA UBUNGO JIJINI DAR
Eneo la kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Wamiliki na madereva wanayofanya safari zake kati ya Ubungo na Mwenge jijini Dar leo wamegomea amri ya kutumia kituo kipya walichoamriwa na serikali kukitumia kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar. Mwanahabari wetu alitembelea kituo hicho na kukuta mafundi wakiendelea na ujenzi huku kukiwa na marundo ya vifusi. PICHA NA RICHARD BUKOS...
10 years ago
Bongo504 May
Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)
Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPLYALIYOJIRI LEO KATIKA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA DAR
Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao. Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya. Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania