Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


brazil yaipiga columbia 2-1 kuingia nusu fainali, kupambana na Ujerumani Jumanne

Ngoma imeisha katika uwanja wa Fortazleza na wenyeji Brazil wamepita robo fainali tayari kupambana na Ujerumani siku ya Jumanne. Thiago Silva alifungua njia kwa bao la kwanza nadni ya dakika 10 za mwanzo kabla ya David Luiz kupiga mpira mkali wa adhabu kuiweka Brazil katika mkao wa kula. Mshambuliaji hatari wa Columbia James Rodriguez aliweka bao la kupunguza maumivu kwa njia ya penati baada ya kipa wa Brazil Julio Cezar kumfanyia madhambi Bacca wa Columbia ndani ya boxi.


Hivyo ngoma imeisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Michuano ya ACL kuingia nusu fainali

Michuano ya kuwania kombe la klabu bigwa barani Afrika kufika hatua ya nusu fainali hiyo kesho huku kukiwa na mechi mbili

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil imefuzu kwa nusu fainali.

Brazil imejikatia tikiti kuchuana na Ujerumani katika nusu fainali baada ya kuilaza Colombia 2-1

 

10 years ago

Michuzi

MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM TANZANIA

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini kujindaa na robofainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na...

 

10 years ago

GPL

MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA‏

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini  kujindaa na  robofainali itakayofanyika Agosti  23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali...

 

11 years ago

Michuzi

Mats Hummels aipeleka Ujerumani nusu fainali kombe la dunia kwa kichwa

 

 

Mats Hummels  ameipaisha Ujerumani kwa kichwa na kuizimisha Ufaransa katika uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro leo na kuipeleka nusu fainali. Beki huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga bao hilo la pekee dakika ya 13, na Ujerumani inayofundishwa na Joachim Low itaelekea Uwanja wa Belo Horizonte kupambana na mshindi wa robo fainal kati ya Brazil na Colombia baadaye  leo. Chini ni mabeseni yenye madonge ya barafu ambayo wachezaji wa Ujerumani walitumia kutuliza joto kali la jiji la Rio...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ni Argentina na Ujerumani fainali

Timu ya soka ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia baada kuitungua Uholanzi kwa mikwaju ya penalti 4-2, katika mchezo wa jana wa nusu fainali nchini Brazil.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil

MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani