Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya ACL kuingia nusu fainali

Michuano ya kuwania kombe la klabu bigwa barani Afrika kufika hatua ya nusu fainali hiyo kesho huku kukiwa na mechi mbili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nusu fainali za michuano ya French Open

Wachezaji watatu maarufu wa tenis duniani wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michauno ya French Open

 

11 years ago

Michuzi

brazil yaipiga columbia 2-1 kuingia nusu fainali, kupambana na Ujerumani Jumanne

Ngoma imeisha katika uwanja wa Fortazleza na wenyeji Brazil wamepita robo fainali tayari kupambana na Ujerumani siku ya Jumanne. Thiago Silva alifungua njia kwa bao la kwanza nadni ya dakika 10 za mwanzo kabla ya David Luiz kupiga mpira mkali wa adhabu kuiweka Brazil katika mkao wa kula. Mshambuliaji hatari wa Columbia James Rodriguez aliweka bao la kupunguza maumivu kwa njia ya penati baada ya kipa wa Brazil Julio Cezar kumfanyia madhambi Bacca wa Columbia ndani ya boxi.


Hivyo ngoma imeisha...

 

9 years ago

Michuzi

Timu ya soka ya wasichana ya Temeke yatinga Nusu fainali michuano ya Airtel Rising Stars

 Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Temeke ilishinda 2-1

 Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya  Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Temeke iliibukana na...

 

10 years ago

Michuzi

MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM TANZANIA

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini kujindaa na robofainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na...

 

10 years ago

GPL

MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA‏

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini  kujindaa na  robofainali itakayofanyika Agosti  23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Michuano yaingia robo fainali

Mashindano ya Cecafa Nile Basin yanaingia robo-fainali Ijumaa na Jumamosi nchini Sudan.

 

11 years ago

Michuzi

MICHUANO YA HEINEKEN FOOSBALL YAINGIA FAINALI

Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania,Uche Unigwe (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola Elfu 10 za kimarekani kwa Mmiliki wa Bar ya Didi's,Bwana Hillary ikiwa ni zawadi kwa washindi wa fainali za Mchezo wa Heineken Foosball.Katikati ni washindi hao ambao ni  Ntoli Mwaikambo na Eric Duncan Lissa. Wachezaji wa timu ya Didis, Eric Duncan Lissa (wa kwanza kushoto) akiwa na mwenzake Ntoli Mwaikambo wakichuana vikali na Said Duche (wa kwanza kulia) na Abdala Kassim wa Hasadam...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yatinga nusu Fainali

Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani