Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mara watwaa ubingwa wa kupiga makasia

Klabu ya wanaume ya wapiga makasia ya JJ Bunda kutoka Nyarusurya mkoani Mara imeibuka bingwa katika fainali za mkoa za mashindano ya mbio za mitumbwi zinazodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014

Rais wa Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Meneja wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool, kitita cha Dolla 5000 sawa na pesa taslimu za kitanzania 8,500,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.Rais wa Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Kocha wa timu...

 

9 years ago

Michuzi

TP Mazembe yanyakuwa ubingwa wa Afrika kwa mara ya tano

Makamu wa raisi Mh.Samia Suluhu amewataka watanzania kudumisha amani na upendo; https://youtu.be/PwPi40mZHuA
Wafanyabiashara mkoani arusha wakumbushwa kuzingatia usafi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu; https://youtu.be/cyySdQKD4T0Wachimba wadogo wadogo mkoani kagera waitaka serikali kuangalia upya sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ambayo ni ki kikwazo kwao; https://youtu.be/kleNi6hYUiUHofu ya uchaguzi mkuu nchini Imetajwa kusababisha kupungua kuja kwa watalii wa nje...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inakusudia kuwafikisha mahakamani wananchi zaidi ya 100 wa Mkoa wa Njombe kwa madai ya kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania watwaa Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Tanzania kwa watoto wa mitaani imenyakua Kombe la Dunia kwa kuichapa Burundi 3-1

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana watwaa medali Botswana

Timu ya soka ya vijana chini ya miaka 15 ya Tanzania imetwaa medali ya fedha kwenye fainali ya michezo ya Afrika ya vijana (AYG) iliyofikia tamati jana jijini Gaborone, Botswana.

 

10 years ago

GPL

MOURINHO, HAZARD WATWAA TUZO ENGLAND

Jose Mourinho. KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England kwa msimu huu wa 2014/2015 huku mchezaji wake Eden Hazard akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu. Eden Hazard. Hazard amechukua tuzo hiyo baada ya kuisaidia timu yake kutwaa taji la Ligi Kuu ya England huku akiifungia mabao 14. Hazard alikuwa akiwania tuzo hiyo pamoja na wachezaji wengine saba ambao ni: John Terry, Cesc Fabregas,...

 

9 years ago

Mtanzania

Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan

BarcelonaYOKOHAMA, JAPAN

KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.

Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.

Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani